Sku nilipo ichek ndo iliniletea hayo maneno mkuuLink inafunguka fresh tena wana website ya ukweliView attachment 410369
Link inafunguka fresh tena wana website ya ukwepi
Mil 2.4ivi apo clinical medicne per year ni milion nne kama ilivo kwa guidebook au ni ngap?
It was dead, nilifanya kuwastua kwa kuandika humu. Nawashukuru kwa kujali.Sku nilipo ichek ndo iliniletea hayo maneno mkuu
