Eckernforde Tanga University haina website

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Jamani hizi ni university za vipi. Inaitwa University lakini haina website. Kuna watoto wamechaguliwa kwenda pale sasa sijui wanapataje kujua chuo kikoje na mahitaji yake! I doubt its credibility, parents beware of this!
 
Uongo uongo uliokubuhu babu acha uongo hicho chuo kina website na kila siku naingia kwenye website yao ambayo ni WW.ETU .AC.TZ
 
Uongo uongo uliokubuhu babu acha uongo hicho chuo kina website na kila siku naingia kwenye website yao ambayo ni WW.ETU .AC.TZ
Nenda sasa hivi kaingie! Unabisha tu! Hakuna tangazo kuwa it is temporarily disabled!
 
Nenda sasa hivi kaingie! Unabisha tu! Hakuna tangazo kuwa it is temporarily disabled!
Sasa wewe kumbe elimu yako ni shida haikusaidii kabisa kama neno temporarily disabled ndo limekuchanganya wakati hata tcu wakati mwingine waga inaandika hivyo think big
 
Sasa wewe kumbe elimu yako ni shida haikusaidii kabisa kama neno temporarily disabled ndo limekuchanganya wakati hata tcu wakati mwingine waga inaandika hivyo think big
Stupid nakuzidi elimu mpuuzi we! Nina uhakika nakuzidi!
 
Acha kuzingua. etu.ac.tz ndo website ya chuo sasa si ungeuliza tu mkuu tukusaidie
1475246659405.jpg
 
bandwidth limit exceed, ndicho kinachotokea pale unapoandika www.etu.ac.tz
Kifupi ni kwamba kile chuo kiko hoi kifedha. Hata waalimu wengine wameshasepa. Kuna ndugu yangu amemaliza pale, diploma level, na baadhi ya matokeo yalichelewa kutoka kwa kuwa walimu wanaodai waligoma nayo.
Kwa hiyo kama wameishiwa bandwidth nadhani ni ukata...
 
Tanga ni nyumbani ila upwani unatutafuna kiukweli yani unaweza kuta mtu yuko active sana ila akianza kuishi tanga basi hubadilika na kuanza kuwa mvivu, Ule ukanda kwanini uvamiwe na waarabu?
 
Back
Top Bottom