Ebu wote angalieni hii picha,mi sina la kusema

Ebu wote angalieni hii picha,mi sina la kusema

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,328
magamba.jpg hii si jezi ya magamba au?
 
ni wale wale wala wali wa liwale walao ule wali wao. Kinyonga si ajabu kubadili rangi.
 
Kwani ni kosa kuvaa tisheti ya chama dume. Kipi kinachokushangaza hapo?
 
jamani ni mke mdogo huyo lazima avae nguo zinazoendana na matakwa ya mme wake
 
Back
Top Bottom