Usichokijua ni kwamba bongo kuna mkuu wa mkoa, lakini pia kuna mkuu wa wakuu wa mikoaKuna mama alitoka Mbeya kwa issue za viwanja akaja kwa Mheshimiwa Makonda na Makonda akawapigia na kuwapa maagizo mkuu wa polisi wa mbeya.
Halafu kumbe mama mwenyewe inavyoonekana ni tapeli.
Kumbe mkuu wa mkoa wa dar ni zaidi ya mkuu wa mkoa tu inawezekana ni mkuu wa wakuu wa mkoa
Duh! Yaani mkuu wa mkoa wa Tanzania?.Usichokijua ni kwamba bongo kuna mkuu wa mkoa, lakini pia kuna mkuu wa wakuu wa mikoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipotoshe, nimesema kuna mkuu wa mkoa na mkuu wa wakuu wa mikoaDuh! Yaani mkuu wa mkoa wa Tanzania?.
Hujaelewa huenda umesikiliza halafu hukuelewa. Umemsikia huyo mama anasema alipigiwa simu na askari polisi wa mbeya wakidai kuwa lazima wafuatillie hili jambo kwakuwa wameagizwa na Makonda. Sijasema ka play part kubwa, lililo nistaajabisha ni vile kuwaagiza polisi wa mbeya washughulikie swala la huyo mama wakati Mbeya ni Mkuu wa mkoa wake. Ningetegemea labda angemrudisha mbeya kwa mkuu wa mkoa wa huko.Hujasikiliza hiyo clip umekimbilia tuu kuanzisha thread, Makonda kaplay part ndogo sana na wala hajapiga simu Mbeya.
Unforgetable
Hujanielewa nadhani nani anajihami? Huyo mama anakwambia alipigiwa simu na askari wakamwambia kuwa huyo mama alienda kwa makonda na makonda kawambia washughulikie hiloswala na lazima walishughulikie haraka.@Nafaka,mbona klipu inajieleza vizuri?Tusipindishe maneno hata RC Dar kutamkwa inawezekana ni katika mbinu za kujihami alizotumia huyo mama tapeli.
Sawa brother yetu?Tusikuze sana mambo,bali muhimu ni haki za watu kusimamiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasikiliza hiyo clip umekimbilia tuu kuanzisha thread, Makonda kaplay part ndogo sana na wala hajapiga simu Mbeya.
Unforgetable