Ebu tazama hii clip halafu ustaajabu.. Yani tatizo liko mkoa wa Mbeya lakini maagizo anayatoa Mheshimiwa Makonda

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,037

Kuna mama alitoka Mbeya kwa issue za viwanja akaja kwa Mheshimiwa Makonda na Makonda akawapigia na kuwapa maagizo mkuu wa polisi wa mbeya.
Halafu kumbe mama mwenyewe inavyoonekana ni tapeli.
Kumbe mkuu wa mkoa wa dar ni zaidi ya mkuu wa mkoa tu inawezekana ni mkuu wa wakuu wa mkoa
 
Usichokijua ni kwamba bongo kuna mkuu wa mkoa, lakini pia kuna mkuu wa wakuu wa mikoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujasikiliza hiyo clip umekimbilia tuu kuanzisha thread, Makonda kaplay part ndogo sana na wala hajapiga simu Mbeya.

Unforgetable
Hujaelewa huenda umesikiliza halafu hukuelewa. Umemsikia huyo mama anasema alipigiwa simu na askari polisi wa mbeya wakidai kuwa lazima wafuatillie hili jambo kwakuwa wameagizwa na Makonda. Sijasema ka play part kubwa, lililo nistaajabisha ni vile kuwaagiza polisi wa mbeya washughulikie swala la huyo mama wakati Mbeya ni Mkuu wa mkoa wake. Ningetegemea labda angemrudisha mbeya kwa mkuu wa mkoa wa huko.
Hakuna sehemu nimesema kaplay part kubwa wala ndogo mimi nimestaajabu hapo kwakuwa sikujua kama mkuu wa mkoa flani anaweza agiza askari au mfanyakazi wa umma wa mkoa mwigine. Nilidhani madaraka yake yanaishia mkoa anaouongoza
 
@Nafaka,mbona klipu inajieleza vizuri?Tusipindishe maneno hata RC Dar kutamkwa inawezekana ni katika mbinu za kujihami alizotumia huyo mama tapeli.

Sawa brother yetu?Tusikuze sana mambo,bali muhimu ni haki za watu kusimamiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Nafaka,mbona klipu inajieleza vizuri?Tusipindishe maneno hata RC Dar kutamkwa inawezekana ni katika mbinu za kujihami alizotumia huyo mama tapeli.

Sawa brother yetu?Tusikuze sana mambo,bali muhimu ni haki za watu kusimamiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa nadhani nani anajihami? Huyo mama anakwambia alipigiwa simu na askari wakamwambia kuwa huyo mama alienda kwa makonda na makonda kawambia washughulikie hiloswala na lazima walishughulikie haraka.
Mimi kilicho nishangaza ni vile mkuu wa mkoa wa mkoa mwingine kuweza kudeal na jambo la mkoa mwingine. Nakubariana na mdau kuwa Makonda kahusika kwa percent kidogo sana hata 1% haifiki. Ila mantiki yangu hapa je inawezekana mkuu wa mkoa mmoja akatoa maagizo kwa mkoa mwingine hata kama ni madogo?
 
Kumbe mkuu wa mkoa wa dar ni zaidi ya mkuu wa mkoa tu inawezekana ni mkuu wa wakuu wa mkoa

Jr
 
Back
Top Bottom