Ebu skia hii!!

Maisha ni mzunguko,katika hali inayoshangaza ni kuwa unaweza ukaamua jambo na baadae kushindwa kufanikisha au kutokulifanya kabisa.

Jambo lenyewe linaweza kuwa ni la urafiki kati ya mwanamke na mwanaume.Urafiki naouzungumzia hapa ni ule wa kimapenzi.Mwanzo wa urafiki huu huwa mzuri sana mpaka wakati mwingine unamuuliza,ulikuwa wapi siku zote?.Hufikia hatua ya kuwekeana ahadi kwamba nitakuoa,ww ndio chaguo langu la mwisho hakuna lingine.

Kiukweli maneno hayo hutoka moyoni kwa mwanaume,wakati mwingine mwanaume husema,''daah niliwahi kuwa na dem lakini huyu anawafunika woote niliowahi kuwa nao''bila kujua hata wale mwazo wao ulikuwa kama huu.

Yote hayo hufanyika mwanzo kabisa wa mahusiano,ikifika katikati ya mahusiano hapa kila mmoja kashamzoea mwenzake,zile sms zinapungua kama zilikuwa zitumwa kila asubuhi na jioni zitatumwa jioni tu,na kama alikuwa na mazoea ya kuja nyumbani mara kwa mara atakuja mara moja kwa wiki tena umuombe.Inapofika stage hii ndo dalili za kuachana zinakaribia.

Hatua inayofikia ni kuachana,mipango yote ya kuoana imeishia hapo na kila mtu anaangalia ustaarabu wake.Unaweza kujiuliza ni kwann haya hutokea lakini ukweli ni kwamba wanawake wana dharau sana baadhi yao,akiwa anasumbuliwa kila kukicha na wanaume wenye hali zaidi kuliko ww huwa wanaanza dharau na wakati mwingine wanakunyari kana kwamba unaweza kumuhudumia weye?

NB:Dharau si nzuri,heshima umepewa na Mungu hununui popote,tunza heshima yako ili uheshimiwe na wengine hata watoto usipowaheshimu nao hawatakuheshimu..

The end.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ndugu mbona hapo ni tatizo dogo sana..hilo..amin nakwambia asilimia kubwa ya watu in one way or the other wameshaumia sasa..dawa ndo hii ukitaka milele uumie kwenye mapenzi wewe tumia HISIA..lazima utaumia..mimi ushauri wangu wewe..tumia au resort kwa LOGIC..mfano hapo design umeshajisaidia kidogo maana umeshaona kwamba sababu ya kuvunjika kwa penzi na dharau ni mdada kuzuzuliwa na jamaa mwenye life la juu zaidi yako..sasa chamsingi na wewe inabidi uwe juu ya huyo jamaa..tafuta hizo hela..vuta ndinga fresh..nunua Iphone 5 na wewe..msichana akiondoka we amini tu muda ulifika wa yeye kuondoka..kuresort to logic ni ngumu mwanzoni ila ukizoea raha sana..mim 24/7 na smile tu..kama vile hakijatokea kitu vile
 
asante, lilikuwa swali langu hili..lol. Wanaume hawana dharau eeh, mnatuonea kwa mengine jaman kha, mkicheat mnatafuta sababu ya kumlaumu mwanamke, mkishindwa kusaidia familia zenu nayo mnamsingizia mwanamke, hebu semeni na ya kwenu.
aisee, kwahiyo sababu ya mapenzi kuisha ni 'dharau za wanawake' eeh.
 
Ndugu mbona hapo ni tatizo dogo sana..hilo..amin nakwambia asilimia kubwa ya watu in one way or the other wameshaumia sasa..dawa ndo hii ukitaka milele uumie kwenye mapenzi wewe tumia HISIA..lazima utaumia..mimi ushauri wangu wewe..tumia au resort kwa LOGIC..mfano hapo design umeshajisaidia kidogo maana umeshaona kwamba sababu ya kuvunjika kwa penzi na dharau ni mdada kuzuzuliwa na jamaa mwenye life la juu zaidi yako..sasa chamsingi na wewe inabidi uwe juu ya huyo jamaa..tafuta hizo hela..vuta ndinga fresh..nunua Iphone 5 na wewe..msichana akiondoka we amini tu muda ulifika wa yeye kuondoka..kuresort to logic ni ngumu mwanzoni ila ukizoea raha sana..mim 24/7 na smile tu..kama vile hakijatokea kitu vile

Poa kaka nimekusoma!
 
dharau za wanawake pale wanapokutana na mtu mwenye kuwazidi wapenzi wao hela.
He is very specific, naona kuna kitu kimemkaa rohoni amekosa pa kukitemea...

Mwali mi ngoja nisiseme sana! Ila kila unapoandika comment huwa natamani nikufahamu!
 
Sidhani kama hiyo ni sababu pekee, zipo nyingi na mojawapo katika hizo ni ile tabia ya watu kutojionyesha uhalisia wao tangu mwanzo wa mahusiano na kuamua kuishi maisha ya viigizo. Huna uwezo, unaazima gari kwa ajili ya kumburudisha mtu, unajifanya msomi, unajifanya unakazi nzuri, unajifanya una tabia zisizo zako, unajipa vijisifa kibao visivyo vyako, uongo nk nk. Mwisho wa siku kadri mnavozoena, ile hali ya umaigizo huondoka na uhalisia wako hurudi. Hapo ndipo mpenzi wako anapokuona kana kwamba umebadilika! Unauvaa uhalisia wako wa kweli, mwenzio anakuona umebadilika na upendo huanza kupungua taratibu na mwishowe ni kupigana chini ...
 
Maisha ni mzunguko,katika hali inayoshangaza ni kuwa unaweza ukaamua jambo na baadae kushindwa kufanikisha au kutokulifanya kabisa.

Jambo lenyewe linaweza kuwa ni la urafiki kati ya mwanamke na mwanaume.Urafiki naouzungumzia hapa ni ule wa kimapenzi.Mwanzo wa urafiki huu huwa mzuri sana mpaka wakati mwingine unamuuliza,ulikuwa wapi siku zote?.Hufikia hatua ya kuwekeana ahadi kwamba nitakuoa,ww ndio chaguo langu la mwisho hakuna lingine.

Kiukweli maneno hayo hutoka moyoni kwa mwanaume,wakati mwingine mwanaume husema,''daah niliwahi kuwa na dem lakini huyu anawafunika woote niliowahi kuwa nao''bila kujua hata wale mwazo wao ulikuwa kama huu.

Yote hayo hufanyika mwanzo kabisa wa mahusiano,ikifika katikati ya mahusiano hapa kila mmoja kashamzoea mwenzake,zile sms zinapungua kama zilikuwa zitumwa kila asubuhi na jioni zitatumwa jioni tu,na kama alikuwa na mazoea ya kuja nyumbani mara kwa mara atakuja mara moja kwa wiki tena umuombe.Inapofika stage hii ndo dalili za kuachana zinakaribia.

Hatua inayofikia ni kuachana,mipango yote ya kuoana imeishia hapo na kila mtu anaangalia ustaarabu wake.Unaweza kujiuliza ni kwann haya hutokea lakini ukweli ni kwamba wanawake wana dharau sana baadhi yao,akiwa anasumbuliwa kila kukicha na wanaume wenye hali zaidi kuliko ww huwa wanaanza dharau na wakati mwingine wanakunyari kana kwamba unaweza kumuhudumia weye?

NB:Dharau si nzuri,heshima umepewa na Mungu hununui popote,tunza heshima yako ili uheshimiwe na wengine hata watoto usipowaheshimu nao hawatakuheshimu..

The end.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

so, what is the point here?
 
Pole sana mleta mada, bahati mbaya hakuna mke wa kuazima, pole sana, Preta nilisha muwahi ngoja niendelee kula gud time naye, from day 1, Preta amekuwa kila kitu kwangu, ubora wake sawia mvinyo, kama ni kufuli limepata ufunguo wake
 
Last edited by a moderator:
Naomba nitafsirie kwa lugha nyepesi
kwa kifupi anasema kua wanawake wana madharau. anatoa mfano ambapo mtu anaweza kukutana na mwanamke, wakaanza urafiki, urafiki huo ukabadilika kua mapenzi na mapenzi yenyewe yakafungua njia kwa wapenzi hao kuanza kuona future ya pamoja katika ndoa. Then mnatamkiana promises, na mnaanza kujipanga (it is important that you understand walipitia all this process where the relation matures and this took time). then mwanamke anakudharau ghafla kwa kukubwana na kuondoka zake na mtu mwengine just because huyo kakuzidi hela (I take it there was no maturing process here). Ni hayo tu.
 
Sikumbuki... haya, PM me basi please.

....Mwali has chosen not to receive private messages or may not be allowed to receive private messages. Therefore you may not send your message to him/her.

If you are trying to send this message to multiple recipients, remove Mwali from the recipient list and send the message again..
 
Najua unajua kuwa haiwezekani! There are certain settings zinatokea pale kati,... like blah blah, huyu haruhusu PM ama haruhusiwi kupokea blah blah..! Chek your settings utaona..
add me as a friend, then try again. it should be fine :)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom