GE2015 Ebu mlioguswa na ushindi tumshauri yafuatayo

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,068
Reaction score
47,157
Mimi nimeguswa sana na ushindi wa Magufuli sana sana,

Kwanza ili serikal yake isikwame naomba tu azingatie haya,

1.ateue waziri mkuu hasiyekuwa na Makuu hasiyejulikana kabisa, ambaye hawataendeshana, watu wanawasema kina mwakyembe, lakin sioni kama mwakyembe anaweza kuwa waziri mkuu mzuri, nasikia waziri mkuu ni jamaa mmoja kutoka kusini ana taaluma ya ualimu,

2.Kuhusu kuibiwa tumeibiwa sana, cha kufanya afanye maziara mengi sehem mbali mbali
 
Kuna Mtu Mzito Alinambia Sospeter Muhongo Ndo Atapewa, Sikutaka Kubisha lakin waziri mkuu ni mwalimu anatokea maeneo ya kusini
 
wachague yeyote. wtz niwakulazimishiwa. Mungu ndie mteteziwetu. tumejaribu njia ya democrasia imeshindikana.njia ya damu hatutaki. kilichobaki ni kumlilia ALLAH
 
Waziri mkuu lazima awe mkatoliki.
Hutaki unaacha
Waziri mkuu ni cheo cha walutheri na muslims. Wakatoliki ni urais na umakamu.
Haipo kwenye katiba rasmi lakini ndio hivyo.
Ni kama ambavyo Waziri Mkuu ni rais kivuli wa Serikali ya Tanganyika japo haisemwi kwenye katiba
 
Mimi nimeguswa sana na ushindi wa Magufuli sana sana,

Kwanza ili serikal yake isikwame naomba tu azingatie haya,

1.ateue waziri mkuu hasiyekuwa na Makuu hasiyejulikana kabisa, ambaye hawataendeshana, watu wanawasema kina mwakyembe, lakin sioni kama mwakyembe anaweza kuwa waziri mkuu mzuri, nasikia waziri mkuu ni jamaa mmoja kutoka kusini ana taaluma ya ualimu,

2.Kuhusu kuibiwa tumeibiwa sana, cha kufanya afanye maziara mengi sehem mbali mbali
Sikuwahi kuona huu uzu, wejama wewe!.
 
Back
Top Bottom