Ebola imeingia Tanzania?

Me naona issue kama hizi zinahitaji official statement kutoka proper channel
 
Mambo mengine mngekuwa mnakaa kimya tu,,, Hujaelewa Uzi afu unaleta usisemu hapa!!!
Acheni uzushi, yaani mnahujumu uchumi wa nchi ni kama mnapakwenda siku mambo yakiharibika kwenye nchi.
 
[QUOTE="MISULI, post: 32830909, member:
Unataka serikali iseme kuna Ebola hata kama hamna?
[/QUOTE]
Wew pandikizi LA lumamba mnawazia sehem gani ya mwili?
Hii siyo politiko
 
Huwezi kuwatangazia wananchi kuwa kuna ebola. Itasababisha taharuki kubwa sana pasipo na sababu.

Kinachotakiwa kifanyike na serikali kupitia wizara ni kutoa ushirikiano wa karibu sana na wa dhati kwa shirika la afya duniani WHO ili tuweze kusaidiwa pamoja endapo kuna chochote.

Hofu yangu kwa sasa siyo kuwepo au kutokuwepo kwa ebola, bali ni hii serikali kujihami kupita kupita kiasi. Serikali ya awamu hii inaendeshwa kama vile ina vitu haifanyi sawasawa, hivyo kulazimika kujihami kulikopitiliza.

Zaidi, watendaji wa ngazi za kati na wataalam wameingiwa hofu kubwa, hasa katika kutatua changamoto mbalimbali zilizopo na zinazojitokeza.
Kila kitu ni mpaka kipate baraka za wanasiasa. Hata pale ambapo hakutakiwi siasa, tunaona wanasiasa wakijiingiza na matamko yao.

Kuchukua hadhari kwa sasa ni jukumu la binafsi zaidi, mpaka pale tutakapoambiwa hali halisi. Binafsi napata amani kabisa ninapisikia kuwa Ebola ni ugonjwa unaoangaliwa na WHO moja kwa moja. Siyo jukumu la nchi. Hivyo wanaposema wanafanya uchunguzi wanamaanisha.

HAWA SIYO WASWAHILI WENZETU WA KUWALETEA DANADANA ZA CAG
 
Inawezekana umekurupuka bila kusoma, anza mwanzo kasome ndiyo uje uchangie. Mwili unaobeba kichwa kisicho na akili unaumia sana.
Hahaha...Mkuu huyo unaehangaika nae uwezo wake kiakili upo chini a.k.a bogus a.k.a bwege mtozeni....yeye anasubiri Ummy aseme....
Huyu waziri kadanganya sana kuanzia uwepo wa dengue hadi idadi ya vifo....hana hata aibu...Tusali sana Mungu atulinde watu wake...Amen
 
Sasa
NIMR Wanasema Nini Sasa Hivi Kuhusu Hili
 
 
 
Ebola sio tishio tena dawa ilishapatikana,,,homa ya ini ndo habari ya mjini.
 
@modrator Paw na wahusika mnatakiwa kulinda hili jukwaa kwa kuto ruhusu huu ujinga
Sasa moderators watoe ombi la WHO la kutaka kupewa taarifa na serikali kwanini? Kwani hapo WHO wamesema ebola ipo au wanaomba taarifa? Kuna ubaya gani sisi waTanzania kujua kwamba WHO inamashaka na uwepo wa ebola hivyo inaomba taarifa rasmi ya serikali?

Unaona uko sahihi kusema moderators wafiche hii taarifa tusiipate? Bila WHO kusema haya Ummy angetoka hadharani jana?
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…