Waziri kusema hakuna EBOLA siyo ushahidi kuwa hakuna EBOLA
Tunataka Waziri aje na Paneli ya Madkatari waongee kitalamu, Watuonyeshe na ripoti za vipimo vya maabara, wathibitishe kuwa kweli EBOLA haipo ili baadae kama ipo tuweze kuwashitaki kwa kuvunja viapo vyao!
Kwa hali ya sasa simuamini Waziri maana kama ni matamko mawaziri tumeshaona mawaziri wa wizara mbalimbali wakitoa matamko amabayo wakati mwingine yanakuwa ya kisiasa.
Maelezo ya Waziri hayatoshi!
Serikali isilete Siasa kabisa katika hili suala hatutaielewa kabisa!
View attachment 1207655
View attachment 1207657
View attachment 1207675
View attachment 1207692