Nyanda za juu kusini nako inasemekana kuna clientWakuu tetesi nilizozipata ni kuwa hofu ya kuingia kwa homa ya ebola imezidi kusambaa baada mgonjwa alielazwa hospital moja ya mkoa huko kusini mwa tz kufariki usiku wa kuamkia leo na kuamriwa kuzikwa haraka leo hii hii.. Najua kuna wenye taarifa sahihi ya hizi tetesi anaweza kutuwekea hapa.. Mungu ibariki Tanzania
Hiyo inaitwa "ostrich mentality" haisaidii!Moderators taarifa zingine vizuri tuzipate kupitia wizara ya afya.Sio vizuri kugeuza maswala mazito.kama haya kuyatumia kisiasa au kuyafanya public before taarifa official.Moderators ondoeni huu uzi
Hiyo ni tahadhariJana nilienda kanisani maeneo ya kimara.
baada ya ibada alisimama mama mmoja aliyejitambulisha kama mtaalamu kutoka wizara ya Afya. yule mama alitutahadharisha tuchukue tahadhari na ugonjwa wa ebola.miongoni mwa sababu alizosema ni kwamba ugonwa ule waweza kuwepo nchini kwa maana tunazungukwa na walioathirika
Swali mama yle alitumwa nanani na kwanini alifika pale? aliongea kama muumini au mtaalamu wa afya?
serikali kuweni wawazi ugonjwa upo nchini
wasalaam
Wakuu tetesi nilizozipata ni kuwa hofu ya kuingia kwa homa ya ebola imezidi kusambaa baada mgonjwa alielazwa hospital moja ya mkoa huko kusini mwa tz kufariki usiku wa kuamkia leo na kuamriwa kuzikwa haraka leo hii hii.. Najua kuna wenye taarifa sahihi ya hizi tetesi anaweza kutuwekea hapa.. Mungu ibariki Tanzania
Hivi hii habari ya ebola iliyoenezwa na wapinzani imefikia wapi? Sijawahi kuona upinzani wa hovyo kama huu wa sasa wa kueneza habari za uongo katika nchi yetu na si ule upinzani wa enzi ya Dr. Slaa wa kufichua ufisadi.Waziri kusema hakuna EBOLA siyo ushahidi kuwa hakuna EBOLA
Tunataka Waziri aje na Paneli ya Madkatari waongee kitalamu, Watuonyeshe na ripoti za vipimo vya maabara, wathibitishe kuwa kweli EBOLA haipo ili baadae kama ipo tuweze kuwashitaki kwa kuvunja viapo vyao!
Kwa hali ya sasa simuamini Waziri maana kama ni matamko mawaziri tumeshaona mawaziri wa wizara mbalimbali wakitoa matamko amabayo wakati mwingine yanakuwa ya kisiasa.
Maelezo ya Waziri hayatoshi!
Serikali isilete Siasa kabisa katika hili suala hatutaielewa kabisa!
View attachment 1207655
View attachment 1207657
View attachment 1207675
View attachment 1207692
Ama kweli kuna siku wake zenu wakikosa uzao mtasema ni hao hao wapinzani wamechukua vizazi vyao.Hivi hii habari ya ebola iliyoenezwa na wapinzani imefikia wapi? Sijawahi kuona upinzani wa hovyo kama huu wa sasa wa kueneza habari za uongo katika nchi yetu na si ule upinzani wa enzi ya Dr. Slaa wa kufichua ufisadi.
Hongera sana hapaHaipo. Tena tueendelee kudhibiti mipaka isiingie. Ebola ni hatari sana.