logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,553
.@modrator Paw na wahusika mnatakiwa kulinda hili jukwaa kwa kuto ruhusu huu ujinga
Kweli kabisaHuu ugonjwa haufichiki. Ebola isikieni tu. Ikifika Tanzania hata kuandika hamtaandika maana mtakosa nguvu za kuandika. Kwanza ungekuwepo watu wangetengwa hilo eneo alopatikana mgonjwa.Huu ugonjwa usikieni tu.
Dah.Unafukua makaburi.
Huwa napenda tu kusoma sometimes huyu jamaa BAKDah.Unafukua makaburi.
Sijui yupo wapi. Kapotea kitambo sana hapa jukwaani.Huwa napenda tu kusoma sometimes huyu jamaa BAK
A sadist of all the time hapa JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamkusikia ile habari ya ajali.. Iliyoripotiwa hapa kwa mbwembwe na bashasha..ilitokea huko kaskazini..!??sijui kilimpata nini..
Atakua kaunga mkono juhudi maana jana nimeona comment yake ya kumsifia jiwe kwenye issue ya coronaSijui yupo wapi. Kapotea kitambo sana hapa jukwaani.
Ebola'sWaziri kusema hakuna EBOLA siyo ushahidi kuwa hakuna EBOLA
Tunataka Waziri aje na Paneli ya Madkatari waongee kitalamu, Watuonyeshe na ripoti za vipimo vya maabara, wathibitishe kuwa kweli EBOLA haipo ili baadae kama ipo tuweze kuwashitaki kwa kuvunja viapo vyao!
Kwa hali ya sasa simuamini Waziri maana kama ni matamko mawaziri tumeshaona mawaziri wa wizara mbalimbali wakitoa matamko amabayo wakati mwingine yanakuwa ya kisiasa.
Maelezo ya Waziri hayatoshi!
Serikali isilete Siasa kabisa katika hili suala hatutaielewa kabisa!
View attachment 1207655
View attachment 1207657
View attachment 1207675
View attachment 1207692
Hatari ya Ebola plus ya coronaWauhamishie kwenye jukwaa la mapenzi sivyo?
BAK, Mataga hawataki kuambiwa ukweli, Nchi iko hatarini na hamna hatua za tahadhari zilizo chukuliwa, wala elimu ya kujikinga inayotolewa
Makamongo ndivyo walivyo Mkuu. WHO wametuma taarifa Serikalini kuulizia kama habari hii ni kweli au uongo. Kitaratibu Serikali ilitakiwa iwajibu WHO within 24 hours and it is now more than 24 na hii Serikali inajulikana kwa kuficha ukweli mbali mbali nchini ikiwemo magonjwa. Kumbuka lile sakata la binti Malecela.