msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,891
Labda mwanafamilia wake yakimpata haya ataombwa urudishwe.Wauhamishie kwenye jukwaa la mapenzi sivyo?
BAK, Mataga hawataki kuambiwa ukweli, Nchi iko hatarini na hamna hatua za tahadhari zilizo chukuliwa, wala elimu ya kujikinga inayotolewa