Ok tunakuamini wewe usiyechakachua takwimu. Nani kathibitishwa kuugua au kufa na ebola? Tuambie mwana takwimu za uhakika.Seriously unamuamini Waziri Ummy Mwalimu?
Yaani kukanusha kwa Ummy maana yake ameufukuza ugonjwa? Kumbuka hii ni Serikali inayochakachua takwimu ya chochote kile.
Umesema kuwa WANAWEZA KUWA WANAFICHA HUU UGONJWA. kauli yako tu inawalakini ndani yake. Sasa acha wataalam wa afya watoe taarifa km upo au laa. sio wewe mshika mafaili ya mbowe utake kutuaminisha upuuzi wako. Sasa ufichwe kwa faida gani? Mnataka kuleta taharuki ambazo sizo.
For sure, mipakani hali ni hatari sana... Njia za panya ni nyingi na wengi wanapita hukoKuna panya roads ngapi mipakani ambazo serikali iimeshindwa kudhibiti watu kuingia nchini?
Tuulize sisi wakazi wa pembezoni na mipakani tukueleze hali ya usalama wetu ambavyo ni Mungu tu atulindaye
Uongo kwenye siasa hautoi maana kwamba Ni waongo hadi kwenye afya zetu. Ni sawa na kuwatangazia wananchi kipindupindu hakipo sehemu ambapo kipo. Itakuwa kwa maslahi ya Nani?..., lakini Victoire Serikali yetu tunaijua kwa kusema uongo si mara moja au mbili bali mara chungu nzima ndiyo sababu wengi hawaamini Serikali hii.
WHO, US offer to assist as mystery disease fears rise
TOP government health officials were yesterday tight-lipped over a mysterious viral infection availability of unknown illness in the country yesterday even as the World Health Organization (WHO) and the United States offered to assist the government in preventing an outbreak.www.ippmedia.com
Uongo kwenye siasa hautoi maana kwamba Ni waongo hadi kwenye afya zetu. Ni sawa na kuwatangazia wananchi kipindupindu hakipo sehemu ambapo kipo. Itakuwa kwa maslahi ya Nani?
Wewe ndio hukuwa na la maana la kuandika hadi ukaleta taarifa ambazo sio za kada yako humu. Ulitakiwa kukaa kimya. Au uliwashwa tu kuandika sababu yale ambayo unapenda kuandika hayabambi? Ok Lisu ni mgombea ACT 2020. Nazani haya ndio yanakufaaAcha UPUMBAVU kama huna la maana la kuandika kaa kimya. Ni nani alikudanganya mie ni mshika mafaili!? 😳😳😳
Upuuzi wako mwisho lumumba si humu.
Dengue mkuu usiifananishe na Ebola. Ebola haifichiki! Magonjwa Aina au yanayofanana na dengue Ni mengi Sana. So huwezi kukurupuka.Dengue hawakukaa kimya wakati watu wanakufa!?
Dengue mkuu usiifananishe na Ebola. Ebola haifichiki! Magonjwa Aina au yanayofanana na dengue Ni mengi Sana. So huwezi kukurupuka.
Mpumbavu ni wewe mwenyewe ambaye hujui kuwa ni mpumbavu. Bashite bwana hajui kuwa yeye ni zero brainSo tumuamini kigogo?Mbona hii nchi imekua ya kipumbavu hivi?
Mambo mengine yaacheni yapite siyo saizi zenu. Wewe unalipwa na Bashite Buku 7 kuja kujibu jibu utumbo kwenye mambo serious. Hizi ni mada za wataalamu, acha kichwa chako kiendelee kubeba nywele.tu.Upo nani kaumwa na kwa ushahid gani?
Inawezekana umekurupuka bila kusoma, anza mwanzo kasome ndiyo uje uchangie. Mwili unaobeba kichwa kisicho na akili unaumia sana.Ok tunakuamini wewe usiyechakachua takwimu. Nani kathibitishwa kuugua au kufa na ebola? Tuambie mwana takwimu za uhakika.
Kwa wasiojua incubation period ya Ebola ni mpaka siku 21, watu wanapishana nadhani kutokana na kinga ya mwili. Nadhani kama hizi taarifa ni kweli, basi kama muda huo umekaribia ama kufikiwa, vituo vyote vya afya, maeneo yote waliotembelea, familia zote walizoishi nazo n.k. lazima kungekuwa na watu waliofanya contact nao.Huu ugonjwa haufichiki. Ebola isikieni tu. Ikifika Tanzania hata kuandika hamtaandika maana mtakosa nguvu za kuandika. Kwanza ungekuwepo watu wangetengwa hilo eneo alopatikana mgonjwa.Huu ugonjwa usikieni tu.
Ungependa waseme ipo? Nani kakudanganya ebola inafichwa kirahisi hivyo?Wanaficha taarifa kuhusu jambo hili KWA maslahi gani??
Wanaosoma shule na vyuo sijui itakaaje hapo [emoji41]Hili Gonjwa likipiga mhanga wa kwanza ni uchumi kushuka
Safari za Madaladala zitakuwa limited, watu hawatakwenda makazini, Karantini zitakuwa kila kona
Sehemu zenye msongamano wa watu kama soko la Kariakoo yatafungwa
Yaani itakuwa mshikemshike