Ebitoke !!!

Ebitoke !!!

Tatizo la wahaya ndiyo hili,ghafla jukwaa limeshakuwa Bukoba forum.
 
Mkuu no. 1 na 2 ni maharage au msholo? No. 2 na 3 imechanganywa na mchuzi wa mawese?
 
Ekyo kyo omuka, koikumalao wakwata akagilasi akenguli olaleka!!!!!
 
Mkuu no. 1 na 2 ni maharage au msholo? No. 2 na 3 imechanganywa na mchuzi wa mawese?

Namba 1 ni maharage na Dagaa na namba 2 ni nsholo kwa nyamaa namba 3 ni maharage meupe na nyama
 
Tatizo la wahaya ndiyo hili,ghafla jukwaa limeshakuwa Bukoba forum.

Ndio hapo sasa, halafu kwa kujifanya wasomi kumbe bure tu, sasa hapa dagaa wanaita mboga, sasa mboga mboga na dagaa wapi na wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom