Ebitoke !!!

Ebitoke !!!

Bukayo jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
2,782
Reaction score
1,647
bukoba+ndizi.jpg

ndizi-na-maharagwe-kochbananen-mit-bohnen.jpg

531210_382300315169605_1235694786_n.jpg
 
Mapishi haya naona ni siku ya kuwakumbuka marehemu zetu ambao wa shatangulia mbele ya haki mi hasa hilo dagaa tu ndo
 
Kwa kawaida mimi si mpenzi wa ndizi lakini nilishawahi kuonja mapishi haya yaliyopikwa na wenyewe (wahaya)nikapenda. Tamu.
 
aisee umeniumbusha buoba.. mwaa juzi juzi tu hapo wakati namalizia high school nilienjoy sana maisha ya ndizi 4 kwa shs 100!!!

wahaya wako na roho nzuri sana kwa wageni ambao ni talkative and charming...!

Kuna mdada mmoja hivi bila uniona during weekends alikuwa hajisikii amani kabisa!!!

Maisha ya Bk yako fair sana! si magumu kama mikoa mingine!
 
Excel umetokwa mate hadi unaandika kama unamafua ya ndege!
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda ile plate ya kwanza kabisa, full diet!

Je ingekuwa ni mboju badala ya dagaa? Kwa kumbukumbu nilizonazo dagaa ni mboga iliyoanza kutumiwa na wahaya kwenye miaka ya 70 kama ilivyo sangara kwenye miaka ya 80. Chakula bora cha asili cha wahaya ni ndizi ikichanganywa na maharage meupe, mboju au nshonzi au ngege au ningu au mpaja n.k.
 
EEEEH olige....Mayo!
 
​Huwa nawashangaa sana watu wanaosema dagaa ni mboga. Lakini sawa tu bora liende, kuna jamii nyingine dagaa ni chakula cha nyau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom