Hapo ni kwa wazazi wa ebitoke..lawama wapewe Wazazi wake...Tuonyesheni nyumba ya Ebitoke hiyo picha ni kuwashushia heshima wazazi wake waliomlea kwa shida mpaka mtoto wao akaweza jitegemea.Yani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sitasahau siku zile alivyokuwa anamtusi Shilole kwamba hawezi kubishana na mama ntilie nikajua labda huenda anamaisha mazuri kumbeeee...............,.........
Yani hapa wamepauka maskini ya Mungu hata uwezo wa kununua mafuta ya mgando walikuwa hawana, bila shaka walikuwa wanatumia mafuta ya kula kujipakaa mwilini.
Yani huyu dada ndiyo maana hata make ups huwa zinamkataa , licha ya kuweka makeups ugumu wa sura yake unabaki pale pale , yani hapendezagi kabisa ,ila kwa nyodo sasaaaa .........
View attachment 1095843
Sasa cha ajabu Nini kwani Marehemu Mengi alitoka Machame na Ubilionea ondoa ufinyu wa mawazoYani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sitasahau siku zile alivyokuwa anamtusi Shilole kwamba hawezi kubishana na mama ntilie nikajua labda huenda anamaisha mazuri kumbeeee...............,.........
Yani hapa wamepauka maskini ya Mungu hata uwezo wa kununua mafuta ya mgando walikuwa hawana, bila shaka walikuwa wanatumia mafuta ya kula kujipakaa mwilini.
Yani huyu dada ndiyo maana hata make ups huwa zinamkataa , licha ya kuweka makeups ugumu wa sura yake unabaki pale pale , yani hapendezagi kabisa ,ila kwa nyodo sasaaaa .........
View attachment 1095843
Uncle, tatizo huyu Ebitoke ana nyodo sana ,mara kwa mara amekuwa akiwaponda wenzake ,ameshagombana na wengi sana akiwemo shilole na gigy, sasa tulitarajia huenda ametokea maisha bora au ana maisha bora kumbe........
siyo mimi huyo,situmii fb kabisa.Mzee baba nakuonaga sana kule fb siku hizi umehamia group la fb la chadema vs ccm 2020 nakuonaga ukipost habari za mastaa kule
Alaaaa........Ni wewe yule jamaa 100%siyo mimi huyo,situmii fb kabisa.
weka screenshot nione kinachoandikwa huko.Alaaaa........Ni wewe yule jamaa 100%
Wewe ni me au ke. Kama ni me una mchanganyiko na jinsia za ke.Yani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sitasahau siku zile alivyokuwa anamtusi Shilole kwamba hawezi kubishana na mama ntilie nikajua labda huenda anamaisha mazuri kumbeeee...............,.........
Yani hapa wamepauka maskini ya Mungu hata uwezo wa kununua mafuta ya mgando walikuwa hawana, bila shaka walikuwa wanatumia mafuta ya kula kujipakaa mwilini.
Yani huyu dada ndiyo maana hata make ups huwa zinamkataa , licha ya kuweka makeups ugumu wa sura yake unabaki pale pale , yani hapendezagi kabisa ,ila kwa nyodo sasaaaa .........
View attachment 1095843
Atakuwa na tatizo sio bureHivi Mtoa Mada Una Uhakika Kweli Wewe Ni Mwanaume??.
Mbona Wanaume Halisi Hatuna Tabia Za Kike Kike Kama Zako??.
Ww tajiri?Mwanaume kamili hawezi kuandika sentensi hii...
"Ebitoke ni maskini sana jamani khaaa."
Mtoa mada amechemka. Hiyo picha ni pozi tu. Familia ilitaka ukumbusho baada ya kutoka kwenye kazi za kilimo 'na mihangaiko. Unadhani hata maji yalikosekana? Hilo pozi og. Hawa kutaka picha,za kisasa za kukubadili. Ebitoke kila siku yuko natural. Toa heshima kwakeWw tajiri?