Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,114
- 32,950
Sasa mbona huyo dogo kulia kwa Ebitoke ni domo. Walikulia familia moja hawa wasanii vioo vya jamii?Yani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sitasahau siku zile alivyokuwa anamtusi Shilole kwamba hawezi kubishana na mama ntilie nikajua labda huenda anamaisha mazuri kumbeeee...............,.........
Yani hapa wamepauka maskini ya Mungu hata uwezo wa kununua mafuta ya mgando walikuwa hawana, bila shaka walikuwa wanatumia mafuta ya kula kujipakaa mwilini.
Yani huyu dada ndiyo maana hata make ups huwa zinamkataa , licha ya kuweka makeups ugumu wa sura yake unabaki pale pale , yani hapendezagi kabisa ,ila kwa nyodo sasaaaa .........
View attachment 1095843
Hujielewi wewe.Unataka jibu gani sasa, hiyo comment inajitosheleza.
Achana na mimi
Jamii forum kila mtu ni maisha bora,unamcheka mwenzako wakati asilimia 90 ya wote mnaocomment hapa mlitoka huko?Yani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sitasahau siku zile alivyokuwa anamtusi Shilole kwamba hawezi kubishana na mama ntilie nikajua labda huenda anamaisha mazuri kumbeeee...............,.........
Yani hapa wamepauka maskini ya Mungu hata uwezo wa kununua mafuta ya mgando walikuwa hawana, bila shaka walikuwa wanatumia mafuta ya kula kujipakaa mwilini.
Yani huyu dada ndiyo maana hata make ups huwa zinamkataa , licha ya kuweka makeups ugumu wa sura yake unabaki pale pale , yani hapendezagi kabisa ,ila kwa nyodo sasaaaa .........
View attachment 1095843
Weka ya kwako manyoya wewe mbona sijaona ukidiscuss picha za utotoni za basha ako Mond kule tandale kwenye kambaleKwa mavazi gani sasa hapo, manguo yenyewe yamepauka pauka.
Watu wakishanunua vitz,upo mjini anajiona kafanikiwa sana,Anadharau humble beginnings za watu.Poa mkuu lakini punguza habari za kichoko. Naamini wewe ni mtu mwema hila tabia yako sio nzuri kabisa. Ata kama ebi ni msanii lakini maisha ya kwao hayawezi kua kielelezo cha yeye alivyo.
Kama wewe kweli ni joanah mwanamke na umekuwa disappointed na hance probably mwanaume, basi wanawake mna haki ya kuchagua sana wenza wenu.Umeandika as if kuwa/kuzaliwa familia masikini ni kosa
Haya maisha tu,mimi niliyezaliwa familia ya kitajiri/kimasikini sina haki ya kujudge maisha ya mwingine
Japo kila mtu ana uhuru wa kuspeak his/her mind ila sio busara kwa baadhi ya mambo
I like u ..sikujua before kama una moyo safi pamoja na uzuri ulionao..keep it uUmeandika as if kuwa/kuzaliwa familia masikini ni kosa
Haya maisha tu,mimi niliyezaliwa familia ya kitajiri/kimasikini sina haki ya kujudge maisha ya mwingine
Japo kila mtu ana uhuru wa kuspeak his/her mind ila sio busara kwa baadhi ya mambo
I like u ..sikujua before kama una moyo safi pamoja na uzuri ulionao..keep it u
Nimeuona kwenye comment zako..unafaa kuwekwa ndaniUzuri nilionao umeuona wapi?
Asante kwa upendo
PoaWe jamaa fala sana aisee! Maana maneno yako kama Bashite.
SawaHakuna mwanaume hapa
Safi sana mkuu kinachoangaliwa wakati huu sio wakati uliopita maana heri ya hata Ebitoke anayo picha ya under 5 years wengine kwenye maisha yao halisi kwenye mitandao ya kijamii wamerundika picha kuanzia umeri ambao wamejitambua. kuna watu wamekulia kwenye maisha ya kawaida tu na mazuri kiasi lakini wakikuonyesha picha za zamani unaweza ukam-judge amefuliaHatuchagui tunazaliwa wapi wala tunatokea familia zipi, hata kama ni masikini, tatizo ni kufa masikini.