MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Mwandishi elimu std 7 unategemea nini?
hujafa hujaumbika,ana kengeza sawa mungu ndie alivyomuumba,na mungu huyo huyo anaweza kukufanya ww kipofu nyoooh!Huyo mdada na makengeza yake mimi huwa ananiudhi sana na hicho kipindi chake! Hivi ana taaluma ya uandishi wa habari huyu mbulumunda huyu? Mradi tu anajua kupanua hilo domo lake ndo anaona kila kitu ni sawa tu She.nzy type kabisa!!! Mtoto mwenyewe yuko under 18, hivi siyo kwanza alitakiwa awe na mtu wa karibu wa kumsindikiza kwenye hayo mahojiano? Hebu huyu macho kum-chuzi awe na aibu aisee!!
kama Mungu wako huwa anajibu maombi yenye chuki na roho mbaya hivi binafsi sina haja nae.Lazima tukumbuke historia alioitoa huyu binti, na bado anakiu ya kusikia siku moja huyu mama anatiwa hatiani. Na hili ni miongoni mwa mengi yanayoumiza jamii kila siku, mimi nina laani sana wote waliolaumu kuweka wazi na ikumbukwe kuwa haya yote amesha simulia watu wengi na inafahamika wewe ulitaka wafiche nini >ameumizwa>ameambukizwa HIV>ametimuliwa na ndugu zake>pia anakumbuka namna wezake wanavyoendelea kuumizwa kule kwa mama mnyongaji.
Nimekesha nikiomba hawa wote waliochukulia jambo hili kiutani na kajeli zisizo na kichwa ije watokea watoto wao au ndugu kuchanwa sirin kwao kingono na wao wawe wauguzi, wakati wasababishaji wanakunywa chai mtaani watajua "KWA NINI WATU WAMEAMUA KUANIKA." Na bado siamini kama watu hawaijui nyumba hii na huyo mama, huu ni mwanzo wa kumeza mabomu inatia hasira, na hizo haki za kumlinda zinafanya kazi kwenye jamii ya kistarabu sio hii ya wahuni.Angalia kundi ambalo limemuingilia ni la walafedha tupu polic,docters & watu wenye nafas kifedha (JAMII SERIKARI TUMSAIDIE KWANZA )
hujafa hujaumbika,ana kengeza sawa mungu ndie alivyomuumba,na mungu huyo huyo anaweza kukufanya ww kipofu nyoooh!
Huyo mdada na makengeza yake mimi huwa ananiudhi sana na hicho kipindi chake! Hivi ana taaluma ya uandishi wa habari huyu mbulumunda huyu? Mradi tu anajua kupanua hilo domo lake ndo anaona kila kitu ni sawa tu She.nzy type
kabisa!!! Mtoto mwenyewe yuko under 18, hivi
siyo kwanza alitakiwa awe na mtu wa karibu wa
kumsindikiza kwenye hayo mahojiano? Hebu
huyu macho kum-chuzi awe na aibu aisee!![/
QUOTE]matusi ya nini bosi Wang?
Naona mnamlaumu joyce kwani mabosi wake hawalijuihilo na huyo bint kaanza ukahaba m13 du wazazi wako hai au wamekufa
Haya wewe wenye PhD umelifanyia nini taifa lako?? Sasabu bora hata yeye kwa darasa la saba lake jamii inamtambua na ndio maana inamtafuta ili awasaidie kwenye matatizo yao, hayantuambie wewe basi umelifanyia nini taifa lako na jamii ikakutambua mchango wako???? Ukijibu hilo tu basi naweza nikakuelewa unacho maanisha.
kwani ameata soma uo uwandishi wa habari?
Na mimi pia sijayaelewa hayo maneno niliyo yakolezaHapo nilipopigia mstari cjui maana yake pia nimewauliza zaidi ya watu 3 nao hawajui,cjui maana yake nini...?:A S 13: