Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,040
- 13,472
Mbona wewe umemwona sasa?
Hawajui ethics za uandishi wa habari.
Kama ni kweli hiyo imevuka mipaka! Sijui huyu Mwanamke huwa anawaza nini kichwani, lazima ulinde ubinadamu wa Mtu hata kama amekubali kupigwa picha!
So sad kiasi kwamba nimeshindwa kuendelea kuiangalia!!!!!!!
kwenye kuficha sura kosa ni la presenter,editor au producer?
Na nyinyi ndio mmeamua kumuanika hukukwenye kuficha sura kosa ni la presenter,editor au producer?