EATV na E-FM zapigwa faini na TCRA kwa kukiuka maadili

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Mamalaka ya mawasiliano imekitoka kituo cha East Africa Televishion (EATV) faini ya Tshs. 3,000,000 na Enterteiment FM (EFM) faini ya Tshs. 4,000,000 kwa kukiuka maadili ya utangazaji.

Msemaji wa kamati ya maudhui wa TCRA amesema tarehe 06/05/2016 muda wa saa tano asubuhi EATV walirusha video ya wimbo uitwao 'Panya' uliokuwa na wanawake waliovaa nusu uchi


.
 
Ongezea sambusa yako tunyama tudogo ili kawe na ladha..
Maana umeleta habari kama uko kwenye marathon
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Zama za mazoea ya kuvunja sheria hovyo bila kuchukuliwa hatua zimeisha, Zama Mpya
 
weka picha
ffac790598c6b11f3a219ab95280034f.jpg
 
Pia imempongeza mbunge wa Ulanga ndugu Kombani kwa kulinda maadili ya mtanzania kwa kupendekeza sanamu ya askari itolewe na iwekwe sanamu ya Diamond Platinumz....

Ha haaa jokes jamani...
 
Mtoa taarifa nawe umekiuka maadili ya utoaji taarifa hapa Jf habari yako haina maelezo ya kina kwa mfano, hivyo vituo vya utangazaji vimekiuka maadili gani na lini?
 
Hivi hawa tcra wakishasema haina kujitetea .............. maana kama ni hivo haifanyi fea. ( ingekuwa na utaratibu wa mshtakiwa kujitetea.)
 
Back
Top Bottom