Easy TV ni ya Ukweli au nao Wazushi!

Wakuu tuache ushabiki...Easy wapo muda mrefu na local channels zote..TBC,CH10,ITV,EATV,CAPITAL,STAR TV,,MLIMANI,CLOUDS na TVZ zinapatikana,pia international kama CNN,BBC Al Jazeera wamo,KBC,KTN,CITIZEN,UBC nk...pia ina channel za movie 5 na MTV musics,Dubai sports,Emmanuel TV etc..decoder ipi nyingine inakupa hizo channel zote kwa tshs 9,000 kwa mwezi?

hapo umenena mkuu hawa wana chanel nyingi nashangaa hawa startime wanashindwa nn kuweka hizi local chanel
 
Mimi ninaomba mnisaidie kujua ni kwa nini picha huwa zinanata mara kwa mara, kila ninapo-tune hizi channels? Natumia TING!
 
Jamani mm nipo uku chato mkoa mpya wa geita, vp iyo easy tv inaweza kupatikana? je vp wana channel za mpira mfano, ligi ya uingereza. jamani nijuze ili nami nifunge, maana uku startimes haipatikani
 
Hivi karibuni Easy TV imekuwa na matatizo kwenye kupata local channels....
 
Zote powaaaa niambieni inayoweza kukamata Singida, Dodoma na morogoro ili niwape jamaa zangu waachane na madishi
 
Easy mi naikubali sana coz wana baadhi ya channel za movie ni HD so napata kitu roho napenda,Startimes decoder yake niliitupia darini picture quality hamna kitu hata kama unatumia HD LCD ni utumbo mtupu.
 
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu na ushauri!! sasa nimenunua Star Times na ninaenjoy bila matatizo ingawa mara kwanza decoder ilizingua, but wameirkebsha sasa mambo mzukah!!!
 
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu na ushauri!! sasa nimenunua Star Times na ninaenjoy bila matatizo ingawa mara kwanza decoder ilizingua, but wameirkebsha sasa mambo mzukah!!!
Unapata local chanell ngapi na zipi mkuu?
 
Natumia Easy TV sasa kwa zaidi ya miaka miwili. Hawa wachina wapo safi sana na Antena zao zipo strong! Kuna jirani yangu ana Star times ni full chenga, halafu hapati local chanels!

mmh hapo nillipo bold... uanitia wasiwasi......ninavyojua kwa digital channels kama ilivyo kwa startimes, au dstv... hakuna swala la chenga chenga kama signal nzuri unaipata na kama signal mbaya basi picha zitakuwa zinastuck... unanipa wasiwasi na hii comment yako.. iadha una uhusiano na hao easy TV unawapigia chapua so unapiga vijembe startimes ama.. ili mradi na ww umeandika chochote humu... kuwa makini na unavyochangia...
 
Dah! thanx guys! yani ndo nlikuwa nataka kufunga kesho!! Kwa hyo whats da best: Star Times, TING and others which u know!???

aCHANA NA HEAR SAY NDG YANGU, LABDA NI TWIST YA ANTENNA YA MTU BINAFSI, NIMEFUNGA EASY TV LAKINI IKO POUWA.

LOCAL CHANNELS ZOTE NAPATA, NADAHANI NI PERCEPTION TU.
 
Wakuu tuache ushabiki...Easy wapo muda mrefu na local channels zote..TBC,CH10,ITV,EATV,CAPITAL,STAR TV,,MLIMANI,CLOUDS na TVZ zinapatikana,pia international kama CNN,BBC Al Jazeera wamo,KBC,KTN,CITIZEN,UBC nk...pia ina channel za movie 5 na MTV musics,Dubai sports,Emmanuel TV etc..decoder ipi nyingine inakupa hizo channel zote kwa tshs 9,000 kwa mwezi?

Hiyo easy yapatikana wapi jamani? na ina chanel ngapi?
 
Wakuu tuache ushabiki...Easy wapo muda mrefu na local channels zote..TBC,CH10,ITV,EATV,CAPITAL,STAR TV,,MLIMANI,CLOUDS na TVZ zinapatikana,pia international kama CNN,BBC Al Jazeera wamo,KBC,KTN,CITIZEN,UBC nk...pia ina channel za movie 5 na MTV musics,Dubai sports,Emmanuel TV etc..decoder ipi nyingine inakupa hizo channel zote kwa tshs 9,000 kwa mwezi?
.

AISEE embu nambie baba angu, nina ndugu zangu wako arusha nataka niwa nunulie hii Easy, je kule zina patika? maan amara ya mwisho nikiondika sikuwa nimesikia kama zipo. Nisaidie baba angu
 
Jamani huku Kavifuti Sumbawanga hiyo Easy tv inaweza kupatikana?
 
Unatakiwa uwe na easy tv..na star media zitakusaidia sana unakuwa channel kama 70 hivi!!huwezi kosa cha kuangalia kwa kweli
 
Back
Top Bottom