Ni part time job ipi inanifaa?

Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
798
843
Wakuu jamii forum naitegemea sana Kwa ushauri. Naombeni mawazo yenu.

Ni mwalimu private, muda wa kutoka kazini ni saa11 ndo nafika nyumbani. Mshahara hautoshi nataka kufanya part time job.

Tuition Kwa huo muda watoto kuwapata sijui kama ni rahisi maana utaishia kuwafundisha SoMo Moja.

Naombeni ushauri wenu, ipi kazi inaweza nifaa Kwa huo muda.

Location ni mkoa wa Simiyu.
 
Mh..! Kwa eneo ulilopo na kwa muda huo, labda uanze kujifunza online jobs kama vile blogger, youtuber n.k inabidi uwe mvumilivu kwasababu huwez kuona matunda ndani ya wiki moja.
 
Daa Asante Kwa ushauri mkuu
 
Kama wa kike tafuta kazi ya u bar maid. Unaingia saa 12 mpaka saa 6 usiku.

Kama ni pisikali utapata hela za tipu za walevi ila kama una sura ya baba jitahidi uwe na kauli nzuri ili walevi wakuamini uwabambikie bili.

Kama dume nunua kapu na rangi za kucha ikifika jioni unazunguka uswahili upake rangi na kusugua miguu mademu.

Kama muongeaji mzuri basi unaweza kuwa dalali wa vyumba pia ule pesa za kodi za mwezi mmoja pale utakapowapatia vyumba wateja.

Na kama una kipaji cha kusifia na kujitoa ufahamu then kuwa chawa wa tajiri mmoja. Ukitoka kazini wewe una kazi ya kumganda tajiri na kumjaza misifa.

Options za kutosha hizo, shindwa wewe sasa.
 
Awe jamaa
 
  • Kicheko
Reactions: xox
Back
Top Bottom