mkuu ishu hapa ni haki ya kupata tarifa na kutokana na sheria iliyopelekea kuhamia digital ni kua ni lazima local channel zionyeshwe kwa kila kingamuzi kinachoomba kufanya biashara labda niwe nimesikia tofautiMimi mwenzenu nipo tofauti sana, huwa sina mzuka na hizi televisheni za bongo.
So far katika Easy TV kuna Channel Ten, TBC hizi zinatosha kwa vipindi vya kitanzania na taarifa za habari ukiongezea na Clouds na DTV huko wapenzi wa burudani wataendelea kuburudika.
Hao ITV, EATV na Capital wana lipi la maana mnalolikosa???
Easy TV wana ofisi zao kuu pale ilipo ZhongHua Garden Mikocheni (Victoria).
Mmiliki wake ni mzee mmoja wa Kichina na muda mwingi huwa anakuwepo hapo ofisini kwao.
Ofisi zao zipo pale Moroko, jengo ilipo zhonghua garden. Mbona kwangu channel za Mengi zipo? Ila star tv ndo iliondolewa kitambo sana.
mkuu ishu hapa ni haki ya kupata tarifa na kutokana na sheria iliyopelekea kuhamia digital ni kua ni lazima local channel zionyeshwe kwa kila kingamuzi kinachoomba kufanya biashara labda niwe nimesikia tofauti
kama ndio pale nimewahi fika mara kadhaa ila nawakosa, muda wangu ni jumamosi na wao siku hiyo wanachelewa kufungua na kuwahi kufunga. sio ishu sana maana ni weekend.
huduma kwa wateja pale wanapopata matatizo na kuhitaji kuuliza maswali mbali mbali kuhusiana na bidhaa yao tunawapataje. Wengi wetu tumejionea zile namba zao za simu hazipatikani muda mwingi sana. :sad:
Ni kweli mkuu inawezekana hayo uliyosemaMkuu mimi sidhani kama Easy wana tatizo lolote na ndio maana tangu awali wamekuwa wakirusha matangazo hayo ya televisheni za IPP.
Pengine kwa sasa hawarushi kwa kuwa;
1. Kuna mabadiliko ya kimfumo
2. Kuna kuangalia upya mkataba baina ya televisheni za Mengi na Easy.
3. Labda Bw Mengi kaleta kibri kama kawaida yake.
4. Mengineyo.
Dawa ya haya yote ni DSTV tu
mkuu ishu hapa ni haki ya kupata tarifa na kutokana na sheria iliyopelekea kuhamia digital ni kua ni lazima local channel zionyeshwe kwa kila kingamuzi kinachoomba kufanya biashara labda niwe nimesikia tofauti
Easy TV inatumia nini?Yeah umesikia tofauti..! Mbona DSTV hawaonyeshi? Ni kila king'amuzi kilichopewa kibali kwa mujibu wa sheria hiyo, navyo ni terrestrial (vinavyotumia antena). Vingamuzi vya satelite (vinavyotumia dish) kama DSTV, Azam Tv n.k havibanwi na sheria hiyo.
Easy TV inatumia nini?
Mimi mwenzenu nipo tofauti sana, huwa sina mzuka na hizi televisheni za bongo.
So far katika Easy TV kuna Channel Ten, TBC hizi zinatosha kwa vipindi vya kitanzania na taarifa za habari ukiongezea na Clouds na DTV huko wapenzi wa burudani wataendelea kuburudika.
Hao ITV, EATV na Capital wana lipi la maana mnalolikosa???
Ofisi zao zipo pale Moroko, jengo ilipo zhonghua garden. Mbona kwangu channel za Mengi zipo? Ila star tv ndo iliondolewa kitambo sana.
DSTV kuna ITV na EATV?