Easter Bulaya apewa fomu ya Ubunge kwa mbinde

Ester Bulaya, mshindi Wa Tatu kura za maoni CDM, Amepitishwa na chama kupeperusha bendera ya chama kama mgombea Wa Ubunge -BUNDA. Alipokwenda kuchukua Form yake msimamizi Wa uchaguzi akamgomea. Kisa .."kwanini uwe wewe badala ya mshindi Wa kwanza".

Mtanange haukuishia hapo, mwenyekiti Wa chama plus mshindi Wa kwanza kwenye kura za maoni wote wakavamia offisi ya msimamizi huyo kushinikiza Ester Bulaya apewe Form, bado msimamizi akagoma kwa madai Yale Yale kwanini wakupe wewe sio yule. Mtifuano ulipozidi akaachia form.

Watanzania hii Tafsiri yake nini? Kiongozi sampuli hii huko mbeleni itakuwaje.. Na wako wengi type hiyo..

TAFAKARI AISEE..

Inaanza kupata picha kwa nini bulaya alishindwa,ulikuwa inside job!
 
Mzee Wasira si alijiita Tyson, sasa najua Tyson wa sasa angekutana Francis Cheka angetolewa kwa Technical Knockout. Na hivi ndivyo itakavyokuwa kwa wasira.

Wanasema eti ng'ombe hazeeki maini, lakini sio kwenye siasa. Uzee wa siasa uko kichwani kwa maana ya sera na utekelezaji wake. Pia kwa sasa watu wameelimika hawana haja ya kula maini ya ng'ombe aliyekufa kibudu wakati wanaona kuna yaliyotundikwa buchani na yana mhuli wa daktari. Uzuri wa vyama vingi ndo huo tunaanza kuuona watu wanakuwa na alternatives. Hali itakuwa hivyo hadi bungeni, zile siasa NDIYOOOO hazitakuwepo tena.
 

Attachments

  • 1439957489787.jpg
    1439957489787.jpg
    47.4 KB · Views: 551
Hapa la msingi inaonekana huyo mtendaji anazifuatilia siasa za ukawa kwa karibu ndiyo akaleta hivyo vimbwanga...ni jambo la afya moyoni anaikubali usoni anajali kibarua
 
Ndo maana tunataka tume huru aise! Sasa matokeo itakuwaje? Kama form tu ndo hivyo!
 
Uongozi wa CDM uchukue hatua kutaka maelezo kutoka Tume ya Uchaguzi juu ya hayo yaliyojiri. Aidha, CDM itangaze kutokuwa na Imani na mtumishi huyo wa Tume maana huko mbele ataweza kuharibu mambo kutokana na chuki alizonazo dhidi ya Ester.
 

Pasco hujambo mkuu!
Sijakuona kitambo,ila sishangai maana kwenye mafuriko watu hupotezana hata nabfamilia zao.
Ila bado nakumbuka swali lako. Jee huyu ndiye au tumtazamie mwingine?
Nadhali ningeulizwa Leo jibu langu lingekuwa. Nendeni muwaambie mnayoyaona,mioyo ya watu inafufuka,matumaini yaliyopotea yanarudi na nyuso za RAIA zinang'aa kuonyesha wana matumaini na kesho
 
Last edited by a moderator:
Uongozi wa CDM uchukue hatua kutaka maelezo kutoka Tume ya Uchaguzi juu ya hayo yaliyojiri. Aidha, CDM itangaze kutokuwa na Imani na mtumishi huyo wa Tume maana huko mbele ataweza kuharibu mambo kutokana na chuki alizonazo dhidi ya Ester.

Hatua za kisheria zichukuliwe.
 
Na mshindi wa kwanza alienda kushinikiza form apewe mshindi wa tatu?

BTW:Hakuna jipya hapo walilolifanya CDM maanake Kigwangala naye aligombea kwa mtindo huo huo tu.

Ndiyo demokrasia yetu hii ni ile ile kwenye vyama vyote na hata upinzani ukishika dola hakuna jipya ni sura zile zile tu na matendo Ni yale yale.

They're simply brand new second hands.
 
Back
Top Bottom