Easter Bulaya apewa fomu ya Ubunge kwa mbinde

Easter Bulaya apewa fomu ya Ubunge kwa mbinde

Hapa naona, Esther ajiandae vilivyo kupambana. Kama kupewa fomu tu ni mbinde, vipi kutangazwa mshindi itawezekana kweri!
 
Kuna tetesi Aliyekua mshindi wa kwanza hakuridhika hivyo Kufanya MAAMUZI MAGUMU. clouds uchambuzi magazeti
 
Kama ambavyo kikwete na magufuli hawajitambui wanakwenda kwenye misiba mpaka yombo eti diwani kafa..wapewe roster ya mazishi kabisa toka mochwari ili iwe rahisi

Hahahahhaaa mkuu nmecheka sana
 
Pasco hujambo mkuu!
Sijakuona kitambo,ila sishangai maana kwenye mafuriko watu hupotezana hata nabfamilia zao.
Ila bado nakumbuka swali lako. Jee huyu ndiye au tumtazamie mwingine?
Nadhali ningeulizwa Leo jibu langu lingekuwa. Nendeni muwaambie mnayoyaona,mioyo ya watu inafufuka,matumaini yaliyopotea yanarudi na nyuso za RAIA zinang'aa kuonyesha wana matumaini na kesho
Mkuu Chakaza, nipo !.

Huyu ndiye!.

P.
 
Mimi kama mzaliwa wa Bunda namtakia kila la kheri Ester Bulaya. Kila mwenye mapenzi mema na Bunda Bulaya ndo chaguo sahihi.
 
It shows Wassira kapigwa chenga ya mwili... alikuwa "amejiandaa" na huyo wa kwanza
 
Kuna habari ambazo si nzuri nimezipata kuhusu rafu zilizofanywa huko majimboni ambazo naziona kwenye haya majina tajwa hapa. Kuna watu walishindwa kura za maoni kabisa kabisa. Ikaonekana wana influence na kamati kuu wakaenda Dar kulobby na kujionyesha onyesha na kugawa milungula na majina yao kuteuliwa kwenye majimbo kuwa wagombea watakaosimama kuomba kura Oktoba 25.

Nimesikitishwa sana na hili hususani kwa Chadema. Nadhani ni wakati muafaka wananchi wakathibitisha kauli maarufu itumikayo na CDM. Peeoopleeee....Poweeerrr.

Wananchi fanyeni maamuzi ya busara kuwakata wote ambao hamjaridhika nao. Na msikubali kuletewa mtu eti tu kwa sababu anajuana na watu fulani fulani kwenye Kamati Kuu (KK) au kwa sababu ya ushawishi wake wa kifedha.
Mda wa kung'oa mabua umefika. Ikibidi kuwapa kura CCM majimboni ni sawa tu. Hamna sababu ya kuendelea kulea uovu ule ule ambao umelisababishia Taifa hasara kubwa sana ya maendeleo.

Binafsi ni mpenzi wa mabadiliko na siasa za Upinzani lakini kwa hili walilofanya CDM sidhani kama linavumilika.
Wasalaaam.
 
Lete ushahidi Mkuu
 
Chonde chonde wana bunda bila kujali itikadi zenu hebu tuleteeni huyo binti mjengoni anajua kujenga hoja za msingi namkumbuka kwenye bunge la katiba alivyojenga hoja ya kura ya siri na nyingine nyingi tu
 
wasira.jpg
Mzee wetu wa Gombe na sentabolti iliyokatika ameanza vimbweka vyake.
 
NEC wakileta mahaba na ccm wajiandae kwenda ICC waacheni watu wawachague viongozi wawapendao NCHI IKIVURUGIKA MJUE HATA NYINY MKIKIMBIA MTAACHA NDUGU ZENU WANAUMIA
 
Hapa ndio mujifunze watu wa CDM na luwasa wenu kama chama kina maadili yake.
Leo munahiji luwasa kukatwa ndio muone kumbe kupendwa na watu wengi na kushinda ktk chaguzi sio kigezo tosha cha kupitishwa kiwa mgombea.
 
Back
Top Bottom