Easter Bulaya apewa fomu ya Ubunge kwa mbinde

Easter Bulaya apewa fomu ya Ubunge kwa mbinde

Ester Bulaya, mshindi Wa Tatu kura za maoni CDM, Amepitishwa na chama kupeperusha bendera ya chama kama mgombea Wa Ubunge -BUNDA. Alipokwenda kuchukua Form yake msimamizi Wa uchaguzi akamgomea. Kisa .."kwanini uwe wewe badala ya mshindi Wa kwanza".

Mtanange haukuishia hapo, mwenyekiti Wa chama plus mshindi Wa kwanza kwenye kura za maoni wote wakavamia offisi ya msimamizi huyo kushinikiza Ester Bulaya apewe Form, bado msimamizi akagoma kwa madai Yale Yale kwanini wakupe wewe sio yule. Mtifuano ulipozidi akaachia form.

Watanzania hii Tafsiri yake nini? Kiongozi sampuli hii huko mbeleni itakuwaje.. Na wako wengi type hiyo..

TAFAKARI AISEE..

Tafakuri yangu ni kuwa mgombea wa chadema aliyeshinda hajatendewa haki ya kidemokrasia. Yeye ndiye aliyependwa na wananchi. Na wananchi wamepuuzwa maoni yao na demokrasia imebakwa.
Ama jingine ni kuwa viongozi wamechemka kwani huyo bint/mama alikuwa ameshapitishwa viti maalum kama ingekuwa sio uccm uliomkita kifuani bado angemucha mshindi wa kwanza akaendelea
 
mkuu hilo sio tatizo. ule ulikuwa ni uchaguzi ndani ya chama. mkurugenzi hakupaswa kuhoji kwa nini apewemshindi wa tatu. hilo yeye halimuhusu.
 
Kama ambavyo kikwete na magufuli hawajitambui wanakwenda kwenye misiba mpaka yombo eti diwani kafa..wapewe roster ya mazishi kabisa toka mochwari ili iwe rahisi

attachment.php
 
Uwiiiii namhurumia mzee wasira afadhari ajitoe mapema
kuliko kusubili aibu.

Kabisa!

Atakuwa amejitendea haki sana kwa kujitoa mapema...there is no way akamshinda huyo dada.
Dada mwenyewe mkakamavu and am sure vijana watamsapoti sana Ester katika kuzilinda kura zake.
 
Ukawa imejaa madikteta, wana Bunda wameamua, Chadema wanawaletea mgombea wao, ubabe unaendelea, mkataeni
 
Back
Top Bottom