East Afrika Hotel-Arusha

East Afrika Hotel-Arusha

Kwa kuwasaidia tu, baada ya mda mfupi Dodoma ina overtake Arusha kwa maana miji yote hii miwili inategemea nguvu za serikali mara makao makuu ya Afrika mashariki, (Arusha) mara Bunge (Dodoma) tofauti na Mwanza hakuna ujinga kama huo still ni second largest city. Sasa imagine nguvu zote now zinapelekwa Dodoma, Arusha itakuwa kama Mpanda very soon.
Juzi mama Samia kaenda kufungua hii facility brand new ya UN huko Laki-Laki Arusha kaa ukiota ndoto za mchana
16-11-28_10.jpg
 
Ile hotel jengo ni la PPF,aliyekodishiwa kwa mara ya kwanza alikuwa ni Mohammed msomali aliyekuwa na Paradise na City Garden na Taanso na Tansoma,aliposhindwa kuiendesha kwa namna moja au nyingine,kuna Consultant wake huyu Mohammed aliyekuwa anamiliki Bar ndani ya hyo hotel maan yule msomali hauzi pombe anaitwa Mihail Kirov mbulgaria ndiye ameikodishiwa sasa hivi,kwa hyo jina lazima aweke jina jipya mkuu!
Maihail ni consultant(African focus) kweli ila imechukuliwa na yule mwenye gold crest mwanza Mathias Manga ambae alikua ana jenga platinum hotel Arusha...jama ana deal na mambo ya migodi
 
Wakati ninaondoka mwaka jana(November) niliacha hotel hii ikiwa inatambulika kwa jina hilo EAST AFRICA HOTEL ila baada ya kurudi juzi Arusha nimeshangaa tena Hotel hiyo imebadilishwa jina na sasa inaitwa GOLD CREAST.

Sasa sijajua huu uchumi uligonga hodi kwenye hiyo hotel na kuuzwa ila yote ya yote tuachane nayo,nimependa sana ukuaji wa mji wa arusha hasa miundombinu nimekuta imeongezwa ikiwa ni sambamba na ujenzi wa barabara ya kutokea Moshi kuingia Arusha ila ikiwa bado ipo kwenye ujenzi (ila inakuja kuwa barabara atakayokuwa na viwango vya kipekee katika miji mikubwa hapa nchini.

Pili,nimeona ujenzi wa hotel mpya ya Hyatt Regency,Kijenge ni moja ya majengo yatakayoiweka Arusha kuonekana jiji la kipekee sana,pia kukamilika kwa jengo la PPF PLAZA kumefanya jiji lizidi kunoga kwa majengo mazuri.

Kiukweli mji huu kama utaendelezwa hivi naona kama unakuja kuupiku Mwanza tena kwa kasi ya ajabu ,kwa mawazo yangu (Mwanza kwa sasa inaizidi Arusha idadi ya watu ila miundombinu na majengo Arusha iko juu)

EAST AFRICA-GOLD CREAST
Tumejipanga mwaka huu tutaisoma.
Kwa muonekano unaona Hyatt inakamilika lini?
 
Wikipedia?????!!!!!! Hebu acha kujiaibisha mkuu na viji source vya ku edit mtu yeyote mda wowote anaotaka.
Sio kila kitu unaweza kuedit Wikipedia na vinavyoeditiwa vinajulikana tofauti na official article kama huo ukweli mchungu.
 
Sio kila kitu unaweza kuedit Wikipedia na vinavyoeditiwa vinajulikana tofauti na official article kama huo ukweli mchungu.
To cutt it short.. Mwanza will maintain to be the second largest city and Arusha will maintain to be East Africa's diplomatic capital. God bless Tanzania, Gos bless Arusha and Mwanza.
By the way Arsenal 1:0 Westham. Enjoy
 
To cutt it short.. Mwanza will maintain to be the second largest city and Arusha will maintain to be East Africa's diplomatic capital. God bless Tanzania, Gos bless Arusha and Mwanza.
By the way Arsenal 1:0 Westham. Enjoy
Wenzako kina slowly wanao ishi hapo Kona ya Nyegezi walijaribu dandia Treni Ya Arusha kwa mbele wakaishia kuvunjika...
 
Hilo jengo linamilikiwa na PPF naona jamaa wa gold crest mwanza Mathias Erasto ameona Arusha ipo potential kubwa huenda ndio maandalizi ya kuipiga solex Ile ya mwanza.
Ile ya mwanza inabiashara hawezi kuacha istoshe iliwekeza hela nyingi sana kuna fununu kua bei ya pango zimepunguzwa ndio mana akachukua eastafrica
 
Ile ya mwanza inabiashara hawezi kuacha istoshe iliwekeza hela nyingi sana kuna fununu kua bei ya pango zimepunguzwa ndio mana akachukua eastafrica
Daah afu Gold Crest ile ya Mwanza walikua wanazusha ni ya mamvi,maisha haya...
 
Back
Top Bottom