Eti ni wasanii ambao hawawezi kutengeneza kazi zao.Kenya, Uganda na Tanzania.
Tumekopi sana na tunaendelea kopi, hatuwi sisi.
It's high time that we have a tune , sound, beat, Melody, lyric of our own.
Kwanini kukopy..
Embu sikieni wimbo huu..listen to this gospel
View attachment 2933751 From South Africa..
Ukafara kwa ajili ya mziki?Kwa akili za hawa wasanii wa sasa na mashabiki wao.............maana watu wameiga hadi kutoa makafara
Hilo beat aisee ni la heshima.....huu sasa ndio MzikiKenya, Uganda na Tanzania.
Tumekopi sana na tunaendelea kopi, hatuwi sisi.
It's high time that we have a tune , sound, beat, Melody, lyric of our own.
Kwanini kukopy..
Embu sikieni wimbo huu..listen to this gospel
View attachment 2933751 From South Africa..
Baada ya mmoja wao kujulikana ni shoga ,mzuka wa kuwasikiliza ulikata kabisa nyimbo pekee niliyobaki naipenda ni ile disco matanga na sho madjozi basihuwasikilizi sauti sol?
ile ndo sauti ya EA sasa
wale ndo wanawakilisha EA
MakubwaBaada ya mmoja wao kujulikana ni shoga ,mzuka wa kuwasikiliza ulikata kabisa nyimbo pekee niliyobaki naipenda ni ile disco matanga na sho madjozi basi
HahaaMkuu ..nimekaa leo siku nzima nikajiuliza kumbe mziki ni MELODY...TUNE...
Yani kinachoimbwa huelewi ila umeweka auto repeat 12 hrs...
Anachafua tuAchana na huyo!!