The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,246
Amani iwe kwenu wakubwa,
Wengi wetu humu ndani pia tuna akaunti facebook kama sehemu ya kufresh mind pindi tupumkapo na wengine wapo kibiashara zaidi..Licha ya hivyo kuna page tumezi like kama sehemu ya kupata habari na burudani hasa zile page za vyombo vya habari.
Naweza kusema katika page ambayo ina watembeleaji wengi ni page ya EATV kituo kikubwa cha utangazaji Kwa East Africa lakni mengi yanayopostiwa na kwenye hii page utadhani ni page ya mwanafunzi wa kidato cha pili anaitumia kama kujifurahisha hivi kwani post haziendani na hadhi ya Page.
NAOMBA KUULIZA NI NANI ANAYE MODERATE?