East Africa Standby Force

East Africa Standby Force

Tabu ya hawa jamaa ni kujiona wafalme na kutaka kutawala everywhere. Ndio maana wanagombana na kila mtu, hivi kuna mtu alidhani kagame anaweza kupigana na Uganda of all nations? wana dharau za hali ya juu hawa watu. Angalia hii: Kenya ilivunja mahusiano nayo 1996-1998 balozi wao akafukuzwa, wakapigana na uganda ndani ya DRC, wamepigana na DRC, na sasa hawaelewani na TZ, yani kagame in 20 years toka aingie 1994 kashagombana na KILA NCHI YA MAZIWA MAKUU! mtu wa aina gani huyu?
No permanent friends, no permanent enemies, only permanent interest,ukileta za kuleta unapewa za uso na kama una make sense deals will be made.
 
How many times has Rwanda invaded DRC without her consent under the pretext of looking for FDLR/interahamwe/ex-FAR since 1994? Ina maana Rwanda ina kajeshi kabovu namna hii? by the way, according to your GOVERNMENT NEWSPAPERS etc, isn't Tanzania "hosting" the FDLR? je mmetufanya nini?

Ahahahaha, Kagame akisikia JWTZ pressure inapanda.
 
You are very correct, kwa kweli Mizinga ya JW irifanya kazi kabisa kwani iriwasha moto si mchezo. Lakini game nzima haikufanikiwa:becky::becky::becky:, hivi unawezaje kupigana na jeshi ambalo liliwahi kuuteka mji wa Goma uliokuwa unalindwa na zaidi ya Batallion 6 za DRC plus more than 10000UN forces, ukalishinda bila kukamata askari wake hata mmoja, bila kukamata hata siraha zao ukaziangamiza kwa kutumia jus one Battallion? Ukumbuke when M23 captured Goma, were numbering 5000 strong forces, in that operation they captured a lot of weapons that DRC had brought to fight them still intact in their containers and they went on a massive recruitment and training kuongezea vikosi vyao. Mtajitapa saana ooh tuliipiga M23 wapiii kipigo gani. Watu wari disolve wakaishia na wakaishia na vifaa vyao kimya kimya kwani picha nzima irisha gundurika na ishue haikuwa M23, but kwa kuyeyuka M23 mipango yote irisambaratika ndiyo maana watu wakasimama wasijue cha kufanya. Mbona kama Mandate irikuwa ni kupiga makundi yote ya wabeba siraha ndani ya Congo, kuna makundi zaidi ya 20, mpango mzima on face was to start with M23 na kuendelea na mengine, but on the Plan za mabwana wakubwa mpango ulikuwa tofauti, ndio maana baada ya kutoweka M23 watu wakapigwa na butwaa wasijue la kufanya hadi leo hii.
So My friend I know JW, I know its a strong force especially where there country is concerned, but in Congo, please tuache ushabiki, hata kwa msaada wa Battallion za FDRL it couldint be that easy. There were other forces that played a another role to defuse a very good commedy in that War, There was no War btn M23 and JW, it was never to be, M23 were capable to stand their ground but they were not going to fight International Community.

Hacha polojo za kitoto. Sasa swali dogo tu, kwanini M23 walidisolve baada ya JW kuingia?
Mkongoto huo wewe........
 
..interesting question.

..sina uhakika kama EASF inaweza kuwa deployed DRC kupambana na FDLR.

..EASF includes Rwanda, na kutokana na mahusiano mabaya kati ya Rwanda na DRC, sidhani kama DRC wako tayari kuruhusu askari toka Rwanda waingie ktk ardhi yao[drc] any time in the near future.

..ikumbukwe kwamba Rwanda inatuhumiwa kwa kushiriki mauaji ya kimbari dhidi ya Wacongomani; wizi na uporaji wa rasilimali; pamoja na kufadhili makundi ya waasi wa DRC. sasa katika mazingira kama hayo naona ni vigumu kwa chombo chochote kile kushauri askari wa Rwanda wapelekwe nchini DRC kwa malengo ya kurejesha usalama.

..DRC wako ktk eneo la jumuiya ya SADC, kwa hiyo mostly likely SADC standby force ndiyo itakayobeba jukumu la kupeleka askari DRC kwa malengo ya kurejesha usalama au kulinda amani. Wakati wa civil war ya Liberia majeshi ya ECOWAS ndiyo yalikwenda kutuliza vita.

cc jMali, Swat, JustDoItNow,, lawmaina78, mchambawima1
mauaji ya kimbali unayajua???watu na kufa kwanjaa na kipindupindu huko maporini unayaita ya kimbari???
 
Last edited by a moderator:
Hacha polojo za kitoto. Sasa swali dogo tu, kwanini M23 walidisolve baada ya JW kuingia?
Mkongoto huo wewe........
Kuna watu kama wewe mmekaa kiushabiki tu,kwanza kikosi kilicho kua kikipambana na M23 haikua Jwtz pekeyake,nikukumbushe ni TPDF,DRC,SA,MAIMAI,FDLR,FRANCE,pamoja na SADC yote politicaly,sasa huko kujisifia kunatoka wapi??utafikiri mlikua peke yenu katika uwanja wa mapambano,kingine hapakuwepo mshindi jamaa wakati wote wakitaka wanaweza kurudi na kulianzisha.
 
Unafurahisha, unadhani ni kwanini M23 mlikuwa mnapiga sana kelele kuhusu JWTZ kabla ya kufika DRC na baada ya kufika DRC? Mlikuwa mnaongea sana mara ooh Tz isilete Jeshi kwasababu itapigwa na haijazoea vita vya msituni, mara JW wananunua makahaba, mara mmemkamata Askari wa TZ wakati wa mapambano!!!
Mliongea sana mwisho wa siku nyie ndo mkashindwa, ukweli ni kwamba Askari wengi wa M23 Waliuawa na walikimbia wakaacha Silaha zao pale mlimani, hawakukimbia na silaha kama unavyodai ila silaha waliziacha tena nyingi tuu.
Kama haikuwa vita kati ya JW na M23, nitajie nchi nyingine yoyote ambayo iliingia front line ukiachana na JWTZ!!!??
Hapo juu umesema kuwa kuna vikosi vya UN vilikuwepo Goma ila vikafeli kuwadhibiti M23, Unadhani kwanini ujio wa JWTZ ndio unewatoa hao M23?
JWTZ ni Jeshi ambalo halipendi Sifa na linafanya mambo yake kwa siri kubwa sana, Tanzania haikutaka kusema ni Askari wangapi wa M23 waliuwa na JWTZ!?
Ungekuwa na ndugu ambao walienda Goma, ungemwuliza askaru wangapi wa M23 walikufa!? Kisha angekupa jibu.
Yule alokuwa Brigedia Jeneral James Mwakibolwa ni Mtu wa Intelligensia vibaya sana na alikuwa anafanya mambo kimya kimya.
Ahahah. ..usihangaishe kichwa chako...M23 walichokifanya ni kujitoa tu kwani wakati wote wakati wa mapambano walikua wakikutana na Jwtz na wengine na kuwabamiza vibaya sana na askali wengi wa tz walifia katika hayo mapambano wewe unafikiri hasira ya msanii dhudi ya watusi inatokea wapi??M23 waliamua kujiondoa ili yaishe kwani hapo mwanzo waliwasihi watanzania wasijiingize kwani hapakuwepo haja ya wao kufa bure..si kwamba waliwaogopa..na walicho kua wakisema kilitokea na tz walikufa sana hiyo ni siri msanii mkuu..hawezi kuthubutu hatasiku moja kumnyooshea kidole pk analijua hilo.
 
No permanent friends, no permanent enemies, only permanent interest,ukileta za kuleta unapewa za uso na kama una make sense deals will be made.

Umesahau na France 1994 all the way to Kibeho pamoja na Angola,namibia na Zimbabwe...tatizo sio kujifanya wafalme bali kukataa dhalau na ujasili!
Rwanda ni ya wanyarwanda na Uganda ni ya waganda, kumbuka kabla ya kuwaadabisha Gen Nyamvumba alitoka DRC kuleta malalamiko bungeni dhidi ya Gen James Kazini(RIP) wa UG kipindi hicho majeshi yao yalikuwa hayana heshima hata kidogo alipokuja Kigali alipewa ruksa na bunge ya kuwafundisha adabu na kijana akafanya kweli.
Angola walituletea usanii tukawapa njia ya kuingia Kinshasa kufika mbele Kabila(RIP) akawadanganya eti tunashilikiana na wanajeshi wa Mobutu(RIP) wazamani ammbao wana uhusiano na Savimbi(RIP) basi vijana wetu wakawa wamezungukwa na adui tena wakatufukuza DRC Gen mkali Kabarebe akatangulia na ndege kufika Kigali akasikia wenzake ambao walikuwa nao wapande ndege ya kurudi Kigali wameanza kupigwa na waangola pamoja na DRC, kama kawaida yake mwanaume yule alichukua ndege na vijana wake mpaka DRC, vita ilianzia Airport na mpaka wakajiunga na wenzao...njia ya kwenda Kinshasa ilikuwa ngumu basi ikabidi tumsaidie Savimbi(RIP) kukamata miji iliyomshinda miaka nenda rudi mpaka tukapata airport ya kurudi kwetu, kwa kifupi Savimbi(RIP) tulimtafunia akashindwa kumeza... Angola mpaka leo tunaheshimiana kwani waliona uwezo wetu.
Zimbabwe na Namibia wenyewe nafikiri ingawa wamo kwenye SADC sijui kama watarudi DRC kuunga mkono TZ, SA na Malawi kwani walicho kipata kipindi kile hawatokisahau milele, walikuja kumsaidia Kabila wakiwa na madhumuni ya kugeuzia Kigali, kwa mshangao wakakuta ni maji marefu kwa sababu hatukuwaruhusu hata kuisogelea Rwanda.
Sasa basi kwa kifupi...RDF uijuwayo jMali hakijabadilika kitu, ruratera ntiruterwa hata mjifichie wapi au mpate mtetezi wa namna gani tutawapa kipondo kwani huwa tunapigana tukiwa na sababu muhimu, hatutumiwi kipesa na mwisho kabisa hatuto dharau taifa lolote lile Duniani.
 
Mkuu...sema watu huwa hawasikii...umewapa ukweli lakini sikio lakufa halisikii dawa,tusubiri JMALI na sumu zake.
 
mauaji ya kimbali unayajua???watu na kufa kwanjaa na kipindupindu huko maporini unayaita ya kimbari???

..they had no choice.

..wangewasubiri makambini wangeuwa kwa risasi na mashoka ya RPF.

..ndugu yangu, there r mass murderers within the ranks of RPF and RDF. sasa hao ndiyo wanaotakiwa kuwa-exposed, arrested, na kufikishwa mbele ya mahakama ya kimataifa.

cc mchambawima1, jMali, lawmaina78, JustDoItNow
 
Last edited by a moderator:
Umesahau na France 1994 all the way to Kibeho pamoja na Angola,namibia na Zimbabwe...tatizo sio kujifanya wafalme bali kukataa dhalau na ujasili!
Rwanda ni ya wanyarwanda na Uganda ni ya waganda, kumbuka kabla ya kuwaadabisha Gen Nyamvumba alitoka DRC kuleta malalamiko bungeni dhidi ya Gen James Kazini(RIP) wa UG kipindi hicho majeshi yao yalikuwa hayana heshima hata kidogo alipokuja Kigali alipewa ruksa na bunge ya kuwafundisha adabu na kijana akafanya kweli.
Angola walituletea usanii tukawapa njia ya kuingia Kinshasa kufika mbele Kabila(RIP) akawadanganya eti tunashilikiana na wanajeshi wa Mobutu(RIP) wazamani ammbao wana uhusiano na Savimbi(RIP) basi vijana wetu wakawa wamezungukwa na adui tena wakatufukuza DRC Gen mkali Kabarebe akatangulia na ndege kufika Kigali akasikia wenzake ambao walikuwa nao wapande ndege ya kurudi Kigali wameanza kupigwa na waangola pamoja na DRC, kama kawaida yake mwanaume yule alichukua ndege na vijana wake mpaka DRC, vita ilianzia Airport na mpaka wakajiunga na wenzao...njia ya kwenda Kinshasa ilikuwa ngumu basi ikabidi tumsaidie Savimbi(RIP) kukamata miji iliyomshinda miaka nenda rudi mpaka tukapata airport ya kurudi kwetu, kwa kifupi Savimbi(RIP) tulimtafunia akashindwa kumeza... Angola mpaka leo tunaheshimiana kwani waliona uwezo wetu.
Zimbabwe na Namibia wenyewe nafikiri ingawa wamo kwenye SADC sijui kama watarudi DRC kuunga mkono TZ, SA na Malawi kwani walicho kipata kipindi kile hawatokisahau milele, walikuja kumsaidia Kabila wakiwa na madhumuni ya kugeuzia Kigali, kwa mshangao wakakuta ni maji marefu kwa sababu hatukuwaruhusu hata kuisogelea Rwanda.
Sasa basi kwa kifupi...RDF uijuwayo jMali hakijabadilika kitu, ruratera ntiruterwa hata mjifichie wapi au mpate mtetezi wa namna gani tutawapa kipondo kwani huwa tunapigana tukiwa na sababu muhimu, hatutumiwi kipesa na mwisho kabisa hatuto dharau taifa lolote lile Duniani.

..ulichoandika hapa ni UONGO.

..malengo yenu kumpindua Kabila Snr hayakufanikiwa.

..Rwanda ilipoteza askari wengi, na kulazimika kukimbia uwanja wa mapambano.

..jaribio la kumuondoa Kabila Snr limewatia hasara kubwa kuliko faida.

..Congo was supposed to be a friendly nation to Rwanda, sasa kwa ujinga wa Kagame na Kabarebe, Congo imekuwa pango la wapinzani na maadui wa Rwanda.
 
..they had no choice.

..wangewasubiri makambini wangeuwa kwa risasi na mashoka ya RPF.

..ndugu yangu, there r mass murderers within the ranks of RPF and RDF. sasa hao ndiyo wanaotakiwa kuwa-exposed, arrested, na kufikishwa mbele ya mahakama ya kimataifa.

cc mchambawima1, jMali, lawmaina78, JustDoItNow

Na kwa bahati nzuri/mbaya hauna uwezo wa kufanya chochote au kugeuza historia... Ila ushauri nnaoweza kukupa ni kuja Rwanda ukashuhudia watu waliokuwa wametekwa na kina jMali ambao hivi wako kwao wanasaidia kuipaisha nchi yao mkibaki mnachonga huko nje... na waliokufa katika harakati za ukombozi kuwatoa mikononi mwa Interahamwe iwe ndani au nje ya Rwanda tunawaombea pahali pema peponi.
 
..historia ambayo siwezi kuibadilisha ni hii.

1.Interahamwe wamehusika na mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi.

2.RDF wamehusika na mauaji ya kimbari ya dhidi ya Wahutu na Wacongomani.
 
Jana nilijaribu kiubinaadamu kukosoa matamshi yako lakini naona unarudia yale yale...mauwaji ya kimbali yanaufafanuzi wake, kuyalinganisha na vita vya kukomboa waliotekwa hayayafanyi yawe mauwaji ya kimmbali, kambi kuwa zikimilikiwa na wahutu waliotekwa na wahutu wenzao wenye itikadi kali(jMalis) na baadhi yao kufariki dunia hayageuzi lugha inayopaswa kutumika... wacongoman walio fariki nao ni matokeo ya vita, kama ni hivyo basi vita zote zingeitwa mauwaji ya kimbali, ndugu yangu shughulisha kichwa au na wewe mbogo dizaini za kina jMali?
 
..nakuelewa.

..sishangai wewe kusema hivyo.

..huna tofauti na wale wanaopinga genocide dhidi ya Watutsi.

..mimi msimamo wangu ni kwamba RDF kama ilivyotokea kwa INTERAHAMWE wanatakiwa wapelekwe mbele ya MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA MAUAJI YA KIMBARI.
 
..ulichoandika hapa ni UONGO.

..malengo yenu kumpindua Kabila Snr hayakufanikiwa.

..Rwanda ilipoteza askari wengi, na kulazimika kukimbia uwanja wa mapambano.

..jaribio la kumuondoa Kabila Snr limewatia hasara kubwa kuliko faida.

..Congo was supposed to be a friendly nation to Rwanda, sasa kwa ujinga wa Kagame na Kabarebe, Congo imekuwa pango la wapinzani na maadui wa Rwanda.

Wacha kujifanya hakimu wewe!!! Tena huyo Kabila(RIP) tungempindua vipi wakati tulikuwa tushaanza zoezi la kurudi nyumbani? Kwa taarifa yako waliokufa waliuliwa pale airport baada ya kubakia wachache! kumbuka zoezi la kurudi home likuwa lishaanza lakini baada ya kupata habari ya vitendo alivyokuwa akifanya na wa Angola wake basi tulirudi kwa mashambulizi makali na waliosalia tuliwaokoa na wote kama walivyokuwa tuliwapokea Kigali wakiwa salama salmini, chezea RDF wewe!
Kabila(RIP) kwani haujuwi kwamba alikuwa muuza mbao bongo? ulimbukeni na ushamba ndio uliomponza baada ya kufika Kinshasa akaleta usanii aliotoka nao bongo basi nasisi tukaona isiwe tabu ipo siku atatutafuta, cha mtu... Hatuwezi kulazimisha urafiki kwa mtu asiyetaka.
 
..LOL!!

..wewe unaishi kwenye universe yako unayoijua mwenyewe.

..siyo kitu cha ajabu kwa majaribio ya kijeshi kwenda mrama[botched].

..hata JWTZ walijaribu kumvamia Iddi Amini kwa kushirikiana na Waganda tukaishia kupoteza mamia ya Waganda.

..kwa hiyo kubali tu kwamba huu mpango wa Kabarebe kumpindua Kabila Snr ulifeli, na kupelekea vita baina ya mataifa ya Afrika na mamilioni ya Wacongomani kufariki.

..dunia iliwaamini sana Wanyarwanda lakini COLLATERAL DAMAGE ya vita vyenu imekuwa kubwa and the international community can not trust you any more.

NB:

..eti hamlazimishi urafiki? sasa kwanini mlijaribu kumpindua Kabila Snr kama siyo kulazimisha muwe na kibaraka wenu Kinshasa?
 
..nakuelewa.

..sishangai wewe kusema hivyo.

..huna tofauti na wale wanaopinga genocide dhidi ya Watutsi.

..mimi msimamo wangu ni kwamba RDF kama ilivyotokea kwa INTERAHAMWE wanatakiwa wapelekwe mbele ya MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA MAUAJI YA KIMBARI.

OMG!!! Sasa nikuelewe vipi? Unataka kusema kina jMali kuuwa majirani zao wakitutsi ilikuwa vita kiasi kwamba unaweza ukavifananisha na waganda mlio wauwa vitani? Kama ni hivyo basi wakuwahishe milembe.
 
..LOL!!

..wewe unaishi kwenye universe yako unayoijua mwenyewe.

..siyo kitu cha ajabu kwa majaribio ya kijeshi kwenda mrama[botched].

..hata JWTZ walijaribu kumvamia Iddi Amini kwa kushirikiana na Waganda tukaishia kupoteza mamia ya Waganda.

..kwa hiyo kubali tu kwamba huu mpango wa Kabarebe kumpindua Kabila Snr ulifeli, na kupelekea vita baina ya mataifa ya Afrika na mamilioni ya Wacongomani kufariki.

..dunia iliwaamini sana Wanyarwanda lakini COLLATERAL DAMAGE ya vita vyenu imekuwa kubwa and the international community can not trust you any more.

NB:

..eti hamlazimishi urafiki? sasa kwanini mlijaribu kumpindua Kabila Snr kama siyo kulazimisha muwe na kibaraka wenu Kinshasa?

Huyo Kabila bila kina Kagame kumweka pale was nobody,Congolese washukuru Kagame aliwaondolea lile fisadi Mobutu,Kabila was a big mistake kumweka pale,Rwanda walichotaka was only security ila vurugu zote ni dishonest ya Kabila,lakini naye aliishia wapi.
 
Back
Top Bottom