..sina uhakika kama Rwanda inaweza kuingia tena DRC in the near future.
..sababu[kisingizio kwa wengine] za kufanya hivyo zimeshaondolewa baada ya UN intervention force kuingilia kati.
..hili suala la FDLR, na jinsi ya kulimaliza, liko mikononi mwa UN kwa sasa hivi, na ndiyo watakaoamua mwisho wake.
..Jumuiya ya Kimataifa ilikaa pembeni kwa muda mrefu na Rwanda wakafanya wanavyotaka ndani ya DRC, lakini imeonekana kwamba COLLATERAL DAMAGE ni kubwa mno.
Kuna mauaji ya kutisha yamehusisha jeshi la Rwanda, kuna uporaji wa rasilimali za Congo unaohusisha Rwandan ruling class, na mambo mengine mengi mabaya.
..Kwa upande mwingine, Rwanda inabidi mjitathmini wenyewe. Inakuwaje serikali mliyoiweka wenyewe madarakani leo inakuwa hostile kwenu? DRC iliwaruhusu muuwe Wahutu/FDLR vile mlivyotaka. Sasa what happened btn then and now kiasi kwamba sasa DRC imeamua kuwahifadhi FDLR?
cc
jMali,
lawmaina78,
mchambawima1