East Africa Standby Force

East Africa Standby Force

Another interesting thing ni kuwa M23 bado wako Rwanda including their top military commanders, Laurent Nkunda bado anahifadhiwa Rwanda na huyu ANATAKIWA ICC RIGHT NOW! Ningekuwa SADC ningeanza kupiga kelele za "negative forces" hosted by Rwanda na Uganda as well.

That is why I told you M23 were not defeated, with exception of few soldiers the bulky of it they just dissolved silently with their weapons, some are in DRC, Some in Rwanda and Some in Uganda. As I said there were no battle btn M23 and JW kama watu wanavyofikiria. Mizinga iririndima weee baada ya siku tatu watu waksogerea yale maeneo hapakuwa na mtu yeyote wala siraha zozote basi watu wakatangaza ushindi. rejerea post yangu hapo juu.
 
..nchi zote huwa zinasema hivyo hivyo.

..tatizo ni ku-match maneno na vitendo.

..unazungumzia Rwanda kuingia popote, unafikiri na hizo nchi zitakuwa zinawaangalia tu??

Good hazitaangalia lakini zikimhifadhi na kumsaidia adui wa Rwanda na huyo adui akijongelea mpaka wa Rwanda ndio hapo nasema Rwanda haitakaa kimya na itafanya kweli and with a just cause not otherwise, This is what Rwanda did to DRC on several occasion and succeeded to push back/far the enemy from our boarders ndicho nilichokuwa nasema nduguyangu.
 
Hao MONUSCO they are just useless na hakuna wanachofanya zaidi ya kula bure $$ za UN,kama kuna kitu Rwanda walijifunza the hard way ni kuwategemea UN or anybody aje awasadie,FDLR Wataingiliwa huko huko Congo ..ni swala la muda tuu na atakayesafisha hao mashetani ni RDF na si SADCC or MONUSCO

Ndio mkuu MONUSCO was given a mandate but later on they were poisoned by the leadership in DRC + FDLR and eventually it became MONUSLESS... Since they have totally failed... I think january 2015 they will have to learn from RDF.
 
You are very correct, kwa kweli Mizinga ya JW irifanya kazi kabisa kwani iriwasha moto si mchezo. Lakini game nzima haikufanikiwa:becky::becky::becky:, hivi unawezaje kupigana na jeshi ambalo liliwahi kuuteka mji wa Goma uliokuwa unalindwa na zaidi ya Batallion 6 za DRC plus more than 10000UN forces, ukalishinda bila kukamata askari wake hata mmoja, bila kukamata hata siraha zao ukaziangamiza kwa kutumia jus one Battallion? Ukumbuke when M23 captured Goma, were numbering 5000 strong forces, in that operation they captured a lot of weapons that DRC had brought to fight them still intact in their containers and they went on a massive recruitment and training kuongezea vikosi vyao. Mtajitapa saana ooh tuliipiga M23 wapiii kipigo gani. Watu wari disolve wakaishia na wakaishia na vifaa vyao kimya kimya kwani picha nzima irisha gundurika na ishue haikuwa M23, but kwa kuyeyuka M23 mipango yote irisambaratika ndiyo maana watu wakasimama wasijue cha kufanya. Mbona kama Mandate irikuwa ni kupiga makundi yote ya wabeba siraha ndani ya Congo, kuna makundi zaidi ya 20, mpango mzima on face was to start with M23 na kuendelea na mengine, but on the Plan za mabwana wakubwa mpango ulikuwa tofauti, ndio maana baada ya kutoweka M23 watu wakapigwa na butwaa wasijue la kufanya hadi leo hii.
So My friend I know JW, I know its a strong force especially where there country is concerned, but in Congo, please tuache ushabiki, hata kwa msaada wa Battallion za FDRL it couldint be that easy. There were other forces that played a another role to defuse a very good commedy in that War, There was no War btn M23 and JW, it was never to be, M23 were capable to stand their ground but they were not going to fight International Community.
Teh teh!
 
Good hazitaangalia lakini zikimhifadhi na kumsaidia adui wa Rwanda na huyo adui akijongelea mpaka wa Rwanda ndio hapo nasema Rwanda haitakaa kimya na itafanya kweli and with a just cause not otherwise, This is what Rwanda did to DRC on several occasion and succeeded to push back/far the enemy from our boarders ndicho nilichokuwa nasema nduguyangu.

..I beg to differ.

..Kabila Snr mlimuweka wenyewe.

..aliwaruhusu mkauwa Wahutu/Interahamwe/FDLR vile mnavyotaka.

..Jumuiya ya kimataifa, Tz and SADC included, ziliwaamini na kukaa kimya while you were "doing your thing" in DRC.

..Kabila Snr alikosana na UN kwasababu ya kukataa wachunguzi wa mauaji ya Kibeho, yote hiyo ilikuwa ni kuwanusuru Rwanda msichafuke.

..Sasa nini kimetokea mpaka Kabila Snr na baadaye Kabila Jnr, na DRC, wamekuwa hostile kwa Rwanda?

..Hata nchi ambazo zilikuwa zikiwaunga mkono ktk jumuiya ya SADC nazo zimebadilika msimamo.

..Marekani nao inaonekana wamewapa kisogo, huku kukiwa na habari kwamba uongozi wa Rwanda kukaripiwa ulipokuwa Washington DC.

..Rwanda ambayo ilikumbwa na genocide leo inatoa hifadhi kwa watuhumiwa wa crimes against humanity kama Laurent Nkunda na m23? Hebu jiulize Kagame na Uhuru Kenyatta wamekuwa marafiki!! Kagame aliyesimamisha genocide ya Rwanda, amekuwa kinara wa kumtetea Uhuru Kenyatta ktk kesi yake ICC. Does that make sense to you?

..YES, kuna tatizo la FDLR, lakini Wanyarwanda lazima mjiulize nini kimetokea mpaka mkapoteza baadhi ya marafiki zenu?

cc jMali, mchambawima1, Talkandtalk,
 
..Rwanda ambayo ilikumbwa na genocide leo inatoa hifadhi kwa watuhumiwa wa crimes against humanity kama Laurent Nkunda na m23? Hebu jiulize Kagame na Uhuru Kenyatta wamekuwa marafiki!! Does that make sense to you?

..YES, kuna tatizo la FDLR, lakini Wanyarwanda lazima mjiulize nini kimetokea mpaka mkapoteza baadhi ya marafiki zenu?

cc jMali, mchambawima1, Talkandtalk,

Usinichekeshe duu hii sasa kali, Kabira Snr alikosana na UN kwa kukataa wachunguzi wa mauaji ya Kibeho nadhani hujui unayoyaongea nitashindwa kukusaidia kwa kweli, just kwa kifupi tu na nitaachia hapo. Kabira Snr was the President of DRC and Kibeho si part of Rwanda. So tell me how comes the your sentence in Red. Ciao
 
You are very correct, kwa kweli Mizinga ya JW irifanya kazi kabisa kwani iriwasha moto si mchezo. Lakini game nzima haikufanikiwa:becky::becky::becky:, hivi unawezaje kupigana na jeshi ambalo liliwahi kuuteka mji wa Goma uliokuwa unalindwa na zaidi ya Batallion 6 za DRC plus more than 10000UN forces, ukalishinda bila kukamata askari wake hata mmoja, bila kukamata hata siraha zao ukaziangamiza kwa kutumia jus one Battallion? Ukumbuke when M23 captured Goma, were numbering 5000 strong forces, in that operation they captured a lot of weapons that DRC had brought to fight them still intact in their containers and they went on a massive recruitment and training kuongezea vikosi vyao. Mtajitapa saana ooh tuliipiga M23 wapiii kipigo gani. Watu wari disolve wakaishia na wakaishia na vifaa vyao kimya kimya kwani picha nzima irisha gundurika na ishue haikuwa M23, but kwa kuyeyuka M23 mipango yote irisambaratika ndiyo maana watu wakasimama wasijue cha kufanya. Mbona kama Mandate irikuwa ni kupiga makundi yote ya wabeba siraha ndani ya Congo, kuna makundi zaidi ya 20, mpango mzima on face was to start with M23 na kuendelea na mengine, but on the Plan za mabwana wakubwa mpango ulikuwa tofauti, ndio maana baada ya kutoweka M23 watu wakapigwa na butwaa wasijue la kufanya hadi leo hii.
So My friend I know JW, I know its a strong force especially where there country is concerned, but in Congo, please tuache ushabiki, hata kwa msaada wa Battallion za FDRL it couldint be that easy. There were other forces that played a another role to defuse a very good commedy in that War, There was no War btn M23 and JW, it was never to be, M23 were capable to stand their ground but they were not going to fight International Community.

Unafurahisha, unadhani ni kwanini M23 mlikuwa mnapiga sana kelele kuhusu JWTZ kabla ya kufika DRC na baada ya kufika DRC? Mlikuwa mnaongea sana mara ooh Tz isilete Jeshi kwasababu itapigwa na haijazoea vita vya msituni, mara JW wananunua makahaba, mara mmemkamata Askari wa TZ wakati wa mapambano!!!
Mliongea sana mwisho wa siku nyie ndo mkashindwa, ukweli ni kwamba Askari wengi wa M23 Waliuawa na walikimbia wakaacha Silaha zao pale mlimani, hawakukimbia na silaha kama unavyodai ila silaha waliziacha tena nyingi tuu.
Kama haikuwa vita kati ya JW na M23, nitajie nchi nyingine yoyote ambayo iliingia front line ukiachana na JWTZ!!!??
Hapo juu umesema kuwa kuna vikosi vya UN vilikuwepo Goma ila vikafeli kuwadhibiti M23, Unadhani kwanini ujio wa JWTZ ndio unewatoa hao M23?
JWTZ ni Jeshi ambalo halipendi Sifa na linafanya mambo yake kwa siri kubwa sana, Tanzania haikutaka kusema ni Askari wangapi wa M23 waliuwa na JWTZ!?
Ungekuwa na ndugu ambao walienda Goma, ungemwuliza askaru wangapi wa M23 walikufa!? Kisha angekupa jibu.
Yule alokuwa Brigedia Jeneral James Mwakibolwa ni Mtu wa Intelligensia vibaya sana na alikuwa anafanya mambo kimya kimya.
 
..nakubali hapo uliponisahihisha. I made a mistake.

..kuna kambi la wakimbizi ndani ya DRC ambako majeshi ya Rwanda yalifanya mauaji dhidi ya Wahutu.

..Kabila Snr alikataa wachunguzi wa UN wasiende kwenye eneo la tukio na kufanya kazi yao, na yote hiyo ilikuwa ni kuwalinda Rwanda msichafuke.

..nadhani unaweza uka-respond kuhusu hilo, au??
 
..I beg to differ.

..Kabila Snr mlimuweka wenyewe.

..aliwaruhusu mkauwa Wahutu/Interahamwe/FDLR vile mnavyotaka.

..Jumuiya ya kimataifa, Tz and SADC included, ziliwaamini na kukaa kimya while you were "doing your thing" in DRC.

..Kabila Snr alikosana na UN kwasababu ya kukataa wachunguzi wa mauaji ya Kibeho, yote hiyo ilikuwa ni kuwanusuru Rwanda msichafuke.

..Sasa nini kimetokea mpaka Kabila Snr na baadaye Kabila Jnr, na DRC, wamekuwa hostile kwa Rwanda?

..Hata nchi ambazo zilikuwa zikiwaunga mkono ktk jumuiya ya SADC nazo zimebadilika msimamo.

..Marekani nao inaonekana wamewapa kisogo, huku kukiwa na habari kwamba uongozi wa Rwanda kukaripiwa ulipokuwa Washington DC.

..Rwanda ambayo ilikumbwa na genocide leo inatoa hifadhi kwa watuhumiwa wa crimes against humanity kama Laurent Nkunda na m23? Hebu jiulize Kagame na Uhuru Kenyatta wamekuwa marafiki!! Kagame aliyesimamisha genocide ya Rwanda, amekuwa kinara wa kumtetea Uhuru Kenyatta ktk kesi yake ICC. Does that make sense to you?

..YES, kuna tatizo la FDLR, lakini Wanyarwanda lazima mjiulize nini kimetokea mpaka mkapoteza baadhi ya marafiki zenu?

cc jMali, mchambawima1, Talkandtalk,

Eh kamanda, kumladhi kidogo! Kibeho ni Rwanda kwa hiyo nafikiri siyo majukumu ya Kabila kuruhusu au kuto ruhusu...siku nyingine take your time and never hesitate to ask what you don't understand please.
In a mean while DRC kimenuka tena, tena safari inathibitisha uhuni unaotendeka ndani ya ile nchi, sijuwi mtasema nini sasa? MONUSCO is trafficking FARDC uniform yani balaa tupu.
Hivi Rwanda tumeanza kukaa mkao wakula, kila siku tumekuwa tukiwaambia jinsi ile nchi ilivyo janga kwetu lakini hamkubali... Our intelligence officers have been following the collaboration between DRC, MONUSLESS(+FIB) and FDLR(+other -ve forces) this time pictures are comming out in 3D, come January 2015 RDF will prove the world again... Remember we never wait for a green light from nobody.
 
..mimi nimeuliza maswali machache tu.

..kwanini Kagame alikosana na swahiba wake Kabila Snr?

..kwanini nchi zilizokuwa zikiwaunga mkono sasa hivi zimeachana na nyinyi?

..kwanini mnatoa hifadhi kwa wauaji kama Laurent Nkunda?

..kama mnawahifadhi na kuwapa silaha m23, DRC watakuwa wamekosea kufanya hivyo kwa FDLR?

..kwanini leo Kagame amekuwa mtetezi wa Raisi Kenyatta mwenye kesi ktk mahakama ya kimataifa ICC?

..sometimes inabidi tuelewe tumefikaje hapa tulipo, kabla ya kujua safari yetu huko mbele itakuwaje.

NB:

..YES, Kibeho ni Rwanda na kuna mauaji yalifanywa na RDF. Je wahusika walichukuliwa hatua?

..Kuna mauaji mengine ktk makambi ya wakimbizi ndani ya DRC ambayo yalifanywa na RDF na Kabila Snr aligomea uchunguzi wa UN. Je, hilo nalo unabisha??

cc jMali, Umslopagas
 
Last edited by a moderator:
You are very correct, kwa kweli Mizinga ya JW irifanya kazi kabisa kwani iriwasha moto si mchezo. Lakini game nzima haikufanikiwa:becky::becky::becky:, hivi unawezaje kupigana na jeshi ambalo liliwahi kuuteka mji wa Goma uliokuwa unalindwa na zaidi ya Batallion 6 za DRC plus more than 10000UN forces, ukalishinda bila kukamata askari wake hata mmoja, bila kukamata hata siraha zao ukaziangamiza kwa kutumia jus one Battallion? Ukumbuke when M23 captured Goma, were numbering 5000 strong forces, in that operation they captured a lot of weapons that DRC had brought to fight them still intact in their containers and they went on a massive recruitment and training kuongezea vikosi vyao. Mtajitapa saana ooh tuliipiga M23 wapiii kipigo gani. Watu wari disolve wakaishia na wakaishia na vifaa vyao kimya kimya kwani picha nzima irisha gundurika na ishue haikuwa M23, but kwa kuyeyuka M23 mipango yote irisambaratika ndiyo maana watu wakasimama wasijue cha kufanya. Mbona kama Mandate irikuwa ni kupiga makundi yote ya wabeba siraha ndani ya Congo, kuna makundi zaidi ya 20, mpango mzima on face was to start with M23 na kuendelea na mengine, but on the Plan za mabwana wakubwa mpango ulikuwa tofauti, ndio maana baada ya kutoweka M23 watu wakapigwa na butwaa wasijue la kufanya hadi leo hii.
So My friend I know JW, I know its a strong force especially where there country is concerned, but in Congo, please tuache ushabiki, hata kwa msaada wa Battallion za FDRL it couldint be that easy. There were other forces that played a another role to defuse a very good commedy in that War, There was no War btn M23 and JW, it was never to be, M23 were capable to stand their ground but they were not going to fight International Community.

..kama m23 waliishia chaka bila kupigana then that is even better.

..wametumia busara na uungwana kuepusha mauaji kwa m233 na hata kwa vijana wetu wa JWTZ.

..I wish vita vyote vingeisha namna hiyo, kwa majeshi kuchimbiana mkwara halafu upande mmoja unaishia zake, na mshindi anatangazwa.

NB:

..majuzi Maj.Gen.Mwakibolwa alikuwa Burundi kuwanoa askari wa huko!!

Kobello, Talkandtalk, jMali
 
Rwanda hawawezi kuingia Congo bila kuchapwa.
FARDC ndiyo size yao. Ni aibu kwa TPDF na SANDF kupigana na hawa viwete, they are boring!!They can't fight for even 8hrs.
Kazi ku-tweet nonsense like teenage girls.
 
That is why I told you M23 were not defeated, with exception of few soldiers the bulky of it they just dissolved silently with their weapons, some are in DRC, Some in Rwanda and Some in Uganda. As I said there were no battle btn M23 and JW kama watu wanavyofikiria. Mizinga iririndima weee baada ya siku tatu watu waksogerea yale maeneo hapakuwa na mtu yeyote wala siraha zozote basi watu wakatangaza ushindi. rejerea post yangu hapo juu.

hahahaa, poa basi.
 
Unafurahisha, unadhani ni kwanini M23 mlikuwa mnapiga sana kelele kuhusu JWTZ kabla ya kufika DRC na baada ya kufika DRC? Mlikuwa mnaongea sana mara ooh Tz isilete Jeshi kwasababu itapigwa na haijazoea vita vya msituni, mara JW wananunua makahaba, mara mmemkamata Askari wa TZ wakati wa mapambano!!!
Mliongea sana mwisho wa siku nyie ndo mkashindwa, ukweli ni kwamba Askari wengi wa M23 Waliuawa na walikimbia wakaacha Silaha zao pale mlimani, hawakukimbia na silaha kama unavyodai ila silaha waliziacha tena nyingi tuu.
Kama haikuwa vita kati ya JW na M23, nitajie nchi nyingine yoyote ambayo iliingia front line ukiachana na JWTZ!!!??
Hapo juu umesema kuwa kuna vikosi vya UN vilikuwepo Goma ila vikafeli kuwadhibiti M23, Unadhani kwanini ujio wa JWTZ ndio unewatoa hao M23?
JWTZ ni Jeshi ambalo halipendi Sifa na linafanya mambo yake kwa siri kubwa sana, Tanzania haikutaka kusema ni Askari wangapi wa M23 waliuwa na JWTZ!?
Ungekuwa na ndugu ambao walienda Goma, ungemwuliza askaru wangapi wa M23 walikufa!? Kisha angekupa jibu.
Yule alokuwa Brigedia Jeneral James Mwakibolwa ni Mtu wa Intelligensia vibaya sana na alikuwa anafanya mambo kimya kimya.

waliandika barua mpaka bungeni kwetu ili wabunge wa TZ wazue hoja za kuzuia JW kwenda DRC, bahati mbaya halikufanikiwa.
walitaka wapewe nafasi na bunge la afrika mashariki ili waje kuongea, spika akachomoa ndio maana leo hii watutsi wa Rwanda na burundi wamejiunga wanampiga vita yeye na shyrose ambaye anamtetea spika.
 
ha ha ha ha harafu nimekumbuka kitu, hivi zile Account zao za Facebook na Twitter bado zipo?
 
Rwanda hawawezi kuingia Congo bila kuchapwa.
FARDC ndiyo size yao. Ni aibu kwa TPDF na SANDF kupigana na hawa viwete, they are boring!!They can't fight for even 8hrs.
Kazi ku-tweet nonsense like teenage girls.

..walijaharibia wenyewe.

..waliharibu mahusiano yao na Kabila Snr na yeye akaamua kuji-align na FDLR.

..wangekuwa na busara, wakaishi vizuri na Kabila Snr, leo tusingekuwa tunazungumza hivi.

..hawawezi kuigusa JWTZ mwalimu wa majeshi ya Kusini mwa Afrika.
 
ha ha ha ha harafu nimekumbuka kitu, hivi zile Account zao za Facebook na Twitter bado zipo?

toka ijulikane kagame anatukana watu twitter kwa akaunti feki naanza kudhani alikuwa ni yeye....
 
..walijaharibia wenyewe.

..waliharibu mahusiano yao na Kabila Snr na yeye akaamua kuji-align na FDLR.

..wangekuwa na busara, wakaishi vizuri na Kabila Snr, leo tusingekuwa tunazungumza hivi.

..hawawezi kuigusa JWTZ mwalimu wa majeshi ya Kusini mwa Afrika.

Tabu ya hawa jamaa ni kujiona wafalme na kutaka kutawala everywhere. Ndio maana wanagombana na kila mtu, hivi kuna mtu alidhani kagame anaweza kupigana na Uganda of all nations? wana dharau za hali ya juu hawa watu. Angalia hii: Kenya ilivunja mahusiano nayo 1996-1998 balozi wao akafukuzwa, wakapigana na uganda ndani ya DRC, wamepigana na DRC, na sasa hawaelewani na TZ, yani kagame in 20 years toka aingie 1994 kashagombana na KILA NCHI YA MAZIWA MAKUU! mtu wa aina gani huyu?
 
..ongeza na South Africa.

..wao wako tayari kuwapa hifadhi Laurent Nkunda na magaidi wenzake, lakini South Afrika haina ruhusa kuwapa hifadhi wakimbizi wa kisiasa toka Rwanda.
 
Rwanda isijidanganye kuwa kujenga jeshi la pamoja MAANA YAKE NI KUKUBALIANA na siasa zake za KUIPINGA FDLR! watashangaa....

Appeasement didn't work with the Nazis, so it certainly won't work with FDLR....interahamwe/FDLR must be defeated.
 
Back
Top Bottom