East Africa Standby Force

East Africa Standby Force

Kagame anajaribu kutengeneza kitu kama SADC lakini anasahau Tanzania tulifanikiwa kuanzisha hili sababu ya historia yetu na nchi hizo.....Naona amehakikisha anapata support kutoka Ethiopia na Sudan .......lakini nothing in common btn Rwanda and this countries ........Anafikiri ukaribu wa UK na USA ni wa kuombana tu.......historia inawaunganisha na kujenga undugu wa kudumu .......

unaweza niambia watanzania mnahistoria gani na INTERAHAMWE? kwani naona mnawatetea sana!
 
Najua mambo yote hayo ni kutikisa kiberiti. Si tunawaangalia tu wanavyojirusharusha......

Hakuna cha kutikisa kibiriti.....jamaa wanaona mbali sana kwani kunachi majirani ambazo sasa hivi kutokana na uongozi uchwara zinatumiwa na watu wamagharibi ku destabilize nchi zingine kwa kusupport waasi wa nchi zingine,sasa atakaye jaribu kuishambulia nchi mojawapo iwe direct or indirect atanyeshewa mvua za risasi na hatajua kapigwa kutokea wapi.
 
hasa wale wanaoingia congo DRC kama shambani kwa bibi....:teeth:
 
Muungano wa wenye shida:
Sudan ana vita vya ndani kwa ndani anahitaji jeshi ili kuzima wapinzani, ethiopia, kenya na Uganda wana matatizo na alshaabab hivyo lazima wawe na umoja, Rwanda ana tatizo na FDLR.....hao waliobaki seychelles sijui comoro wapo wapo tu kwa ajili ya kupendezesha picha. Sidhani ikifika zamu ya kuipiga al-shabaab seychelles au comoro wata-risk kupeleka viaskari vyao viwili vitatu halafu al-shaabab wapate sababu ya kujilipua makwao...anyway we'll see.
kuwapiga FDLR ni lazima waingie DRC, DRC sijui kama itakubali rwanda irudi tena eastern congo, na sidhani SADC tutaruhusu
 
Yes indeed! Our courageous men & women went in DRC simply because we needed to protect our people and comfront your evil plans, either we get support from our allies or not... After all We stoped the Genocide alone, I mean alone... We are still determined to do it again to whoever (not only DRC) willing to distabilize Rwanda.
Remember never again? We will always stay vigillant, collect the intelligence data and connect the dots, just like in 1996 when we foiled your plans to attack Rwanda from DRC three days before you acted! Remember Iwawa island ambush?
If needed no body dare to stop us be it the US, French or whatever.
No body should lecture you jMali when it comes to our determination and capacity... You saw it during the Genocide, Kibeho camp or in DRC.
presumably you are now organising your forces somewhere around the corner but we are yet to connect the dots if turns to be true obviously we will engage you accordingly.
 
Hivi kwa nini issue ya kuwapiga FDLR inakuwa inakuuma sana? mara oh Congo haitakubari, mara SADC hatutaruhusu, mara hiki mara kile wewe kweli ni mkereketwa wao. Ingekuwa wishfull thinking zirizomo humu ndio yangekuwa maamuzi ya viongozi wa ukanda huu tungepata shida kweli. Hiki ni kitu ambacho hata Tanzania wanakubaliana nacho na tayari wamo na wameanza mazoezi, ni kwa vile Rwanda wametangulia tu kama ilivyo kawaida yao huwa hawana muda wa kupoteza, muda si mrefu utaona vikosi vya Bongo navyo vikitangazwa kuwa viko tayari, hayo mawazo yenu mtabaki nayo wenyewe tu kwani viongozi wenu wako committed,
 
Na wewe kwa nini issue ya kuwapiga FDLR bila mpangilio inakufurahisha? Mimi siko peke yangu nchi zote za SADC zimepinga kupigwa kwa FDLR na ndio maana wakapewa muda wa kudis-arm, wewe nionyeshe nchi ngapi zinataka FDLR wapigwe right now kama inavyotaka Rwanda tumalize mjadala!
Pili, nchi zetu zote za SADC zimetoa deadline ya january kuwa mwisho wa kuivumilia FDLR yenye silaha. Deadline ikifika bado hawajaweka silaha chini WATAPIGWA TU! Kama tulivyowapiga M23 shida hapo iko wapi?? Nyinyi mna chuki binafsi na FDLR ndio maana hata sasa wanapoweka silaha chini bado mnataka kuwamaliza kwa mtutu! vinginevyo tell me kwa nini now mnakuwa na haraka sana ya kutaka vita wakati deadline bado?
 
MR FACTMAN. Unaendelea kuudhihirishia umma u interahamwe wako. UN resolutions 2098 (2013) na 2147 (2014) zinasema wapigwe tu. Kwanza wamecheleweshwa na pingamizi la South Africa na Tanzania ambao waliomba hawa interahamwe wapewe muda wa kuamka, kupiga, mswaki, kuvaa nguo eti ndio waweke silaha chini. M23 walipewa muda? Pleeeeease! Spare me your ----.
 
Mkuu, hukuwepo nini!!! Mbona M23 walipewa mda wa kuweka siraha chini wakagoma!!??
 
You mean six mmonths? It is a naked truth that the current administrations in Tanzania, DRC and SA are collaborating with Genociders for the benefit of the few at the top!!! If it's about emptying DRC; go ahead but don't try to be their spokesmen... You will be ashamed...those evil are cursed mamals.
 
Na wewe kwa nini issue ya kuwapiga FDLR bila mpangilio inakufurahisha? Mimi siko peke yangu nchi zote za SADC zimepinga kupigwa kwa FDLR na ndio maana wakapewa muda wa kudis-arm, wewe nionyeshe nchi ngapi zinataka FDLR wapigwe right now kama inavyotaka Rwanda tumalize mjadala!
Pili, nchi zetu zote za SADC zimetoa deadline ya january kuwa mwisho wa kuivumilia FDLR yenye silaha. Deadline ikifika bado hawajaweka silaha chini WATAPIGWA TU! Kama tulivyowapiga M23 shida hapo iko wapi?? Nyinyi mna chuki binafsi na FDLR ndio maana hata sasa wanapoweka silaha chini bado mnataka kuwamaliza kwa mtutu! vinginevyo tell me kwa nini now mnakuwa na haraka sana ya kutaka vita wakati deadline bado?

Kwa sababu mna vitu chungu mzima vyakujibu nchini kwenu! Na mimi nakuuliza mkisha weka siraha chini inamaanisha na dhambi zenu tuzisahau au mtarudi Rwanda kutuomba msamaha wa maovu mliyoendelea kutenda tokea kipindi kile?
 
Muungano wa wenye shida:
Sudan ana vita vya ndani kwa ndani anahitaji jeshi ili kuzima wapinzani, ethiopia, kenya na Uganda wana matatizo na alshaabab hivyo lazima wawe na umoja, Rwanda ana tatizo na FDLR.....hao waliobaki seychelles sijui comoro wapo wapo tu kwa ajili ya kupendezesha picha. Sidhani ikifika zamu ya kuipiga al-shabaab seychelles au comoro wata-risk kupeleka viaskari vyao viwili vitatu halafu al-shaabab wapate sababu ya kujilipua makwao...anyway we'll see.
kuwapiga FDLR ni lazima waingie DRC, DRC sijui kama itakubali rwanda irudi tena eastern congo, na sidhani SADC tutaruhusu

JMALI pole sana hakuna anayehitaji kuingia DRC,there is a line you can't cross,wao waendelee waishi huko maporini lakini wasithubutu kuvuka mpaka wa rwanda pamoja na hao wajomba zao SADC watakiona cha mtemakuni,pigeni makelele humu jf lakini kukanyaga mguu ndani ya aridhi ya rwanda? mmmm....utaomba aridhi ipasuke na kukumeza kabla RDF hawajakufikia.
 
memory zenu zina matatizo tena makubwa sana ya kupindua pindua mambo. Tupe hesabu how many times did FDLR ever invade Rwanda, halafu hesabu how many times RDF imevamia DRC under the pretext of fighting FDLR
 
Mkuu, hukuwepo nini!!! Mbona M23 walipewa mda wa kuweka siraha chini wakagoma!!??

Ndugu yangu utaumia kichwa bure kubishana na murutongore &co. Wakiishiwa hoja huwa wanafanya tradition moja ya kitutsi inaitwa "ubwenge" (google it). Wakishaanza ubwenge ujue tayari umeshawashinda achana nao, wanaweza kumkataa hata mama yao hadharani ukabaki unashangaa.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu acha kabisa, tena JWTZ Intelligence yake ilikuwa sahihi sana.
Intelligency ya TZ ilikuwa inadai M23 ni kazi nyepesi sana na hatuhitaji kutoa Askari ambao ni Nguli kwenda kule.
DRC na UN waliamini M23 ni mziki mnene, hivyo wakaomba Tz itoe Batallion ya Nguvu. Jeneral Mwamunyange na wenzake wakasema tutatoa na mokamando wachache pamoja na Brigedia ambae ni Mchapakazi aliebobea ktk mbinu za vita lakini si kutoa Ballion ya nguvu kama Mataifa mengine wanavyotaka hususani Kabila.
Wakati wa mapambano, hakuna majeshi yoyote yalokaa mstari wa mbele isipokuwa JWTZ, kuanzia mizinga mpaka wale wa front line ni Tanzania. South Africa na Malawi waliombwa na Tanzania wakae pembeni waangalie jinsi Tz itakavopiga mziki.
Asikwambie mtu Jmail, M23 walipata kupigo kizito vibaya sana.
Kila mda waliposubiri JWTZ wawe busy kwa kazi yoyote ili washambulie wakakuta kila wakipiga Wanaume wanajibu tena kwa mapigo makubwa.
Ule mlima ambao ulikuwa ni ngome yao kuu, haukutekwa kwa Risasi pekee. Ule Mlima uligwa Mizinga vibaya sana, maiti za Watutsi zikawa zinashuka tu kutoka Mlimani.
Kwa Bahati nzuri JWTZ huwa halipendi maneno maneno, lenyewe likaiambia Serikali ya DRC isitangaze habari yoyote kuhusu mapigano na vifo vya M23 vilivyotokea kule.
 
Yule ni brigedia generali james mwakibolwa, jamaa ametupatia sifa sana. Nilikuwa namuona kwenye TV anafanyiwa mahojiano huku yuko front-line mizinga inalia background....
 
Hakuna cha kutikisa kibiriti.....jamaa wanaona mbali sana kwani kunachi majirani ambazo sasa hivi kutokana na uongozi uchwara zinatumiwa na watu wamagharibi ku destabilize nchi zingine kwa kusupport waasi wa nchi zingine,sasa atakaye jaribu kuishambulia nchi mojawapo iwe direct or indirect atanyeshewa mvua za risasi na hatajua kapigwa kutokea wapi.

Hakuna lolote mkuu. Chenga tu
 
misifa kemkem iwafikie, mi naona hata kama bado hawajakupa uraia watakuwa wanakuonea kabsaa... kabla hujamsifia Mwakibolwa aliyeishia kupiga mizinga tu from the UN basements! ungeanza ukasifia ndugu zako FDLR ambao ndio waliokuwa frontline kwa ahadi ya kusaidiwa kurudi kwao... kwa bahati mbaya walikuwa hawajuwi wanadeal na wasanii ambao hivi sasa badala yakuwatimizia ahadi yao sasa wamebaki wanatazamana na kuulizana chakufanya, mtajijua wenyewe na FDLR wenu sie tunasubiri January 2015 halafu tujuwe what next.
 
Yes indeed! Our courageous men & women went in DRC simply because we needed to protect our people and comfront your evil plans, either we get support from our allies or not... After all We stoped the Genocide alone, I mean alone... We are still determined to do it again to whoever (not only DRC) willing to distabilize Rwanda.
Remember never again? We will always stay vigillant, collect the intelligence data and connect the dots, just like in 1996 when we foiled your plans to attack Rwanda from DRC three days before you acted! Remember Iwawa island ambush?
If needed no body dare to stop us be it the US, French or whatever.
No body should lecture you jMali when it comes to our determination and capacity... You saw it during the Genocide, Kibeho camp or in DRC.
presumably you are now organising your forces somewhere around the corner but we are yet to connect the dots if turns to be true obviously we will engage you accordingly.

Mzee wa sumu, huna lolote wewe, hakuna cha determination and capacity wala staying vigillant. Kagame alienda kuiba madini ya congo wababe wa afrika mashariki na kati JWTZ tukamkata kiaina. Huo ndo ukweli.
Basi njooni kwetu mjifanye mnatafuta hao interahamwe wenu muone tutakachowafanya.
 
Back
Top Bottom