MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
1. ICTR has already proved there was no planning, coordination..none of the sort, kama unabishana nayo fine!
2. Wewe na wenzio ndio huwa mnasema interahamwe, FAR na sasa FDLR wote ni genocidaires kwa ujumla wao, unaposema kuwa THE NATIONAL LEADER OF INTERAHAMWE alikuwa hajui INTERAHAMWE kazi yake nini unachekesha! Halafu wapi umepata kuwa familia ya kajuga ilikuwa ya kwanza kuuawa? au ndio stori za zitto na malumbesa? kinachojulikana ni kuwa kajuga alimficha kaka yake "hotel Rwanda", akalindwa na MHUTU Paul rusesabagina, ambaye leo hii WEWE na paul kagame mnamshitaki for "terrorism" among other things! Please prove hilo. lakini mwisho kabisa, kama version yako ya innoncence ni kweli, why was he sentenced to life in jail, while somebody like Gen. Rwakarabije, the CO-FOUNDER and FIRST COMMANDER OF FDLR is now living peaceful as the HEAD OF PRISON? sometimes propaganda zenu zinajiaibisha zenyewe....
kufungwa nilazima afungwe kwani alikua na akili timamu...tatizo alipenda sana maisha yake akasahau ndugu zake .....nafikiri kama alikua agent wa RPF asingefungwa angekua kama huyo unayesema rwarakabije.