East Africa Standby Force

East Africa Standby Force

OMG!!! Sasa nikuelewe vipi? Unataka kusema kina jMali kuuwa majirani zao wakitutsi ilikuwa vita kiasi kwamba unaweza ukavifananisha na waganda mlio wauwa vitani? Kama ni hivyo basi wakuwahishe milembe.

..I never said anything about Ugandans.

..mimi nimelinganisha mauaji yaliyofanywa na Interahamwe dhidi ya Watutsi, na mauaji ya RDF dhidi ya Wahutu na Wacongomani.

..kwa mtizamo wangu yote ni mauaji ya kikabila, ya kimbari.

..zaidi, nasisitiza kwamba RDF waliohusika na mauaji dhidi ya Wahutu na Wacongomani wanapaswa kupelekwa kwenye mahakama ya kimataifa.
 
..LOL!!

..wewe unaishi kwenye universe yako unayoijua mwenyewe.

..siyo kitu cha ajabu kwa majaribio ya kijeshi kwenda mrama[botched].

..hata JWTZ walijaribu kumvamia Iddi Amini kwa kushirikiana na Waganda tukaishia kupoteza mamia ya Waganda.

..kwa hiyo kubali tu kwamba huu mpango wa Kabarebe kumpindua Kabila Snr ulifeli, na kupelekea vita baina ya mataifa ya Afrika na mamilioni ya Wacongomani kufariki.

..dunia iliwaamini sana Wanyarwanda lakini COLLATERAL DAMAGE ya vita vyenu imekuwa kubwa and the international community can not trust you any more.

NB:

..eti hamlazimishi urafiki? sasa kwanini mlijaribu kumpindua Kabila Snr kama siyo kulazimisha muwe na kibaraka wenu Kinshasa?

Hakuna aliyetaka kumpindua Kabila(RIP) alicho kifanya tunaweza kukiita utundu wa kike(uma...$$¥ya) aliamuwa kufwata dau la wa Angola bila kuzingatia damu yetu iliyomwagika, tulimkumbusha na alikubali yeye mwenyewe kulipa fidia na sisi hapo hapo tukafungasha, alicho haribu ni pale alipotaka kuwauwa vijana wetu waliokuwa wamebakia wakisubili ndege ya kuwarudisha kwao.
 
Huyo Kabila bila kina Kagame kumweka pale was nobody,Congolese washukuru Kagame aliwaondolea lile fisadi Mobutu,Kabila was a big mistake kumweka pale,Rwanda walichotaka was only security ila vurugu zote ni dishonest ya Kabila,lakini naye aliishia wapi.
Sikilizza ....
Nyi ingilieni operations za SADC come January next year. Pamoja na hao East African Bend-over Force, or whatever the F you call it.
 
Huyo Kabila bila kina Kagame kumweka pale was nobody,Congolese washukuru Kagame aliwaondolea lile fisadi Mobutu,Kabila was a big mistake kumweka pale,Rwanda walichotaka was only security ila vurugu zote ni dishonest ya Kabila,lakini naye aliishia wapi.

..YES.

..wawashukuru Wanyarwanda kwa kuwauwa in millions, na kupora mali madini yao.

..hivi kwa akili zako unafikiri wa-Congomani wanatamani Wanyarwanda mrudi ktk nchi yao?

..Rwanda wanted more than security from Congo. Kabila alimwamini James Kabarebe kuwa mkuu wa majeshi ya Congo.sasa Kabarebe alishindwa vipi kuihakikishia Rwanda usalama wake akiwa ktk nafasi hiyo?

..Kabila Snr was honest and loyal to Rwanda mpaka pale mlipomgeuka na kuamua kumpindua, na mwisho wake kumuua.
 
..I never said anything about Ugandans.

..mimi nimelinganisha mauaji yaliyofanywa na Interahamwe dhidi ya Watutsi, na mauaji ya RDF dhidi ya Wahutu na Wacongomani.

..kwa mtizamo wangu yote ni mauaji ya kikabila, ya kimbari.

..zaidi, nasisitiza kwamba RDF waliohusika na mauaji dhidi ya Wahutu na Wacongomani wanapaswa kupelekwa kwenye mahakama ya kimataifa.

lol!!! kumbe tunaongea ukiwa bar? au maji yamekuwa marefu unaanza kuruka ulivyovisema? rejea kwenye post yako hapo chini

..LOL!!

..wewe unaishi kwenye universe yako unayoijua mwenyewe.

..siyo kitu cha ajabu kwa majaribio ya kijeshi kwenda mrama[botched].

..hata JWTZ walijaribu kumvamia Iddi Amini kwakushirikiana na Waganda tukaishia kupoteza mamia ya Waganda.
..kwa hiyo kubali tu kwamba huu mpango wa Kabarebe kumpindua Kabila Snr ulifeli, na kupelekea vita baina ya mataifa ya Afrika na mamilioni ya Wacongomani kufariki.

..dunia iliwaamini sana Wanyarwanda lakini COLLATERAL DAMAGE ya vita vyenu imekuwa kubwa and the international community can not trust you any more.

NB:

..eti hamlazimishi urafiki? sasa kwanini mlijaribu kumpindua Kabila Snr kama siyo kulazimisha muwe na kibaraka wenu Kinshasa?
 
mchambawima1,

..hukunielewa.

..mimi nilikuwa nazungumzia mipango ya kijeshi ambayo imefeli ktk utekelezaji.

..huo mpango wa Kabarebe unafanana na mpango wetu na Waganda kumvamia Iddi Amini miaka ya 70.

..ulikuwa mpango mzuri kwelikweli kwenye makaratasi, lakini wakati wa utekelezaji ulituachia hasara ya mali na watu. kuna ndege yetu ilikwama nadhani Kilimanjaro International Airport ikabaki kama ukumbusho. Kuna wakimbizi wa Kiganda ambao ndiyo walikuwa ground force walipoteza maisha kwa kuuwawa ktk mapambano.

..kwa hiyo samahani hukunielewi. mimi nilikuwa naongelea, specifically, jaribio la kijeshi la James Kabarebe kumvamia Laurent Kabila na similarities zake na jaribio letu dhidi ya Amini.

..Tatizo ni kwamba ulikuja hapa na kujaribu kusema UONGO kuhusu nini kilitokea mlipojaribu kumvamia Laurent Kabila Snr.
 
Last edited by a moderator:

Ok let's 4get that! Lakini bado haimaanishi kutaka kumpindua Kabila(RIP) aangekuwa wa kupinduliwa Kabarebe hasingepanda ndege na kurudi Kigali tatizo ni pale alipotaka kuuwa walio kuwa wakisubili ndege za kurudi kwao!!! Ndipo Kabaerebe alipo lazimika kuchukuwa ndege na kwenda kuokoa vijana wake... But all that aside, what the hell do you compare the victims of war to those of Genocide? Na ndio maana ule mpango wenu wa Uganda ulipo haribika na watu kufariki, je tuuite mauwaji ya kimbali?
 
..I am not a good historian, lakini genocide ninazozijua mimi zimetokea wakati wa vita, kabla ya vita, na wakati mwingine baada ya vita.

..pia ni rahisi sana kwa wahusika/perpetrators wa genocide kusingizia kuwa yaliyotokea yalisababishwa na vita.

..now, do you see where you fit in here??

..lazima perpetrators na masterminds wa mauaji ya Wahutu na Wacongo walioko ndani ya RPF, RDF, na m23, watenganishwe na wasiohusika, na kufikishwa mbele ya mkono wa sheria wa mahakama ya kimataifa.

..Je, unaunga mkono kuundwa kwa mahakama ya kimataifa ya crimes against humanity zilizotokea Congo?

..Je, unaunga mkono Paul Kagame, James Kabarebe, Kayumba Nyamwasa, Laurent Nkunda, na wengine kufikishwa mbele ya mahakama hiyo?

NB:

..Wakimbizi wa Kiganda waliokuwa wafanye amphibious na land invansion waliuawa na majeshi ya Amini. Ndiyo maana nikakwambia mpango wetu ambao ulikuwa mzuri on paper ulifeli.

..kama hunielewi unaweza ku-google kupata habari nzuri kuhusu tukio hilo la miaka ya 70.
 
Genocide denier!!! This is only what I can say and behaving this way may prompt me to change a civil conversation we have had together into something different... Anyway ni kweli unamaanisha ulichokisema au vipi? Je hao waganda unaosema waliplan na Tanzania, unataka kusema mauwaji waliyofanyiwa ni ya kimbali? Je Tanzania nayo ambayo ilijiusisha nao na wao tuseme walikuwa accomplice wa mauwaji ya kimbali? Na ungependekezwa wapelekwe mahakamani kwa kilichotokea vitani? Hebu wacha kuwa kituko wewe.
 
Kuna watu kama wewe mmekaa kiushabiki tu,kwanza kikosi kilicho kua kikipambana na M23 haikua Jwtz pekeyake,nikukumbushe ni TPDF,DRC,SA,MAIMAI,FDLR,FRANCE,pamoja na SADC yote politicaly,sasa huko kujisifia kunatoka wapi??utafikiri mlikua peke yenu katika uwanja wa mapambano,kingine hapakuwepo mshindi jamaa wakati wote wakitaka wanaweza kurudi na kulianzisha.

Yaani unashindwa kusema rwanda ikitaka wakati wowote inaweza kulianzisha.......LOL
Lianzisheni basi muone JW ndo watapata sababu ya kungangoa ako kajamaa. Mkono utapigwa kutokea mpakani mwa congo mpaka kigali
 
..I am not a good historian, lakini genocide ninazozijua mimi zimetokea wakati wa vita, kabla ya vita, na wakati mwingine baada ya vita.

..pia ni rahisi sana kwa wahusika/perpetrators wa genocide kusingizia kuwa yaliyotokea yalisababishwa na vita.

..now, do you see where you fit in here??

..lazima perpetrators na masterminds wa mauaji ya Wahutu na Wacongo walioko ndani ya RPF, RDF, na m23, watenganishwe na wasiohusika, na kufikishwa mbele ya mkono wa sheria wa mahakama ya kimataifa.

..Je, unaunga mkono kuundwa kwa mahakama ya kimataifa ya crimes against humanity zilizotokea Congo?

..Je, unaunga mkono Paul Kagame, James Kabarebe, Kayumba Nyamwasa, Laurent Nkunda, na wengine kufikishwa mbele ya mahakama hiyo?

NB:

..Wakimbizi wa Kiganda waliokuwa wafanye amphibious na land invansion waliuawa na majeshi ya Amini. Ndiyo maana nikakwambia mpango wetu ambao ulikuwa mzuri on paper ulifeli.

..kama hunielewi unaweza ku-google kupata habari nzuri kuhusu tukio hilo la miaka ya 70.

ahahaahahhha...wow...kumbe watusi wanaakili sana...yani wanaweza kuwafumba macho dunia nzima akiwemo tanzania...na kukubali yaliyofanyika rwanda ni Genocide???? sorry...Genoci ili iitwe genocide kuna process inabidi ipitie ili iitwe genocide...na nikitu ambacho wataalamu wadunia wanakaa chini na kukubaliana kwamba ni genocide kutokana na facts...sasa jiulize hayo mnayosema ya congo kwanini hayaja faulu kuitwa genocide?? nikwasababu haya qualify kuitwa genocide na hakuna proof yoyote.
 
Yaani unashindwa kusema rwanda ikitaka wakati wowote inaweza kulianzisha.......LOL
Lianzisheni basi muone JW ndo watapata sababu ya kungangoa ako kajamaa. Mkono utapigwa kutokea mpakani mwa congo mpaka kigali

ahahahahhaa...mbona mlituliza boli??? msanii wenu alipewa warning na pk...ikabidi afyate mkia na kuanza kujijitetea eti "nilikua nikitoa ushaurin kwa nia njema tu"nianjema ya wapi? unafiki tu!ajaribu hata mm 1 tu katika aridhi ya rwanda atatandikwa za umbwa mwizi.
 
Hawa jamaa hawafai kabisa!!! Jana kuna muathilika mwingine wa jMali anaitwa Joka Kuu, yani mi nilifikiri naelimishana na mtu mwenye akili zake baadae nikaja kugundua kumbe ni ule ukoo wa JustDoItNow, akaanza kuniletea ushabiki wa simba na yanga... Mwanzoni alianza na gia nzito kwa tu point tuwili tutatu nikafikiri ni mtu mstaarabu lakini jinsi tulivyoendeleza mjadala wetu nikagundua kumbe naongea na mtambo wa jMali, afadhali ya jMali ambaye yuko kazini kuikosanisha nchi yake na dunia yote hao wengine ni vijibwa koko, hata haujakosea...hawajuwi ya kwamba maendeleo tunayojenga Rwanda hayaturuhusu kufiria mambo ya vita lakini atakaye ianzisha lazima tumpe za uso kama kawaida yetu, kumbuka mara zote tumekuwa tukiingizwa kwenye vita na nchi zisizo na ajenda(nothing to lose) ushauri wangu ni kwamba vita haina maana cha muhimu ni kuzishughulisha serikali zao zijali mahitaji yao kwani ni jambo la lazima! Vita inaharibu vilivyojengwa, isingekuwa hivyo US leo ingekuwa isha ingia Russia lakini kwa sababu ya kulinda walivyofikia wanabaki kutupiana maneno tu.
Labda waseme eti sisi ndio tunawaulia mazeruzeru wao, au sisi ndio tuliocheza dili la ESCRAW, au sisi ndio tumewanyima dawa mahospitalini, au maaskari wetu ndio wanasimama kwenye barabara za bongo kutafuta rushwa usiku na mchana... Vinginevyo jMali atawatokea puani.
 
Kuna watanzania humu ambao wameisha jibatiza uterahamwe hawawezi kubadilika wakisika mtusi yani wanapata kizunguzungu...nakwambia karne hiii interahamwe zitaugua shinikizo la damu.
 
Genocide denier!!! This is only what I can say and behaving this way may prompt me to change a civil conversation we have had together into something different... Anyway ni kweli unamaanisha ulichokisema au vipi? Je hao waganda unaosema waliplan na Tanzania, unataka kusema mauwaji waliyofanyiwa ni ya kimbali? Je Tanzania nayo ambayo ilijiusisha nao na wao tuseme walikuwa accomplice wa mauwaji ya kimbali? Na ungependekezwa wapelekwe mahakamani kwa kilichotokea vitani? Hebu wacha kuwa kituko wewe.

..wewe ni genocide perpetrator.

..how many Hutu, and Congolese, women and children, have you killed?

..kwanini unagwaya kujibu swali hili dogo: Je, unaunga mkono kuundwa kwa mahakama ya kimataifa ya crimes against humanity zilizotokea DRC?

cc jMali, Bulldog
 
if only i'd get one cent for everytime mchambawima1 mentions my name, i would be richer than James rugemalira by now!:tonguez:
 
Si una twisted calculations zako...why you need info? Chukua hesabu zako kama "FACTS" and run with it. Dunia inajua mmeua 1m people. PERIOD. Hizo hesabu zingine labda kama mauaji hayo yalifanyika kule NEPTUNE. Lakini katika dunia hii facts zinasema you killed 1m people Comprende Sinorita?
 
Ooooh...finally MR. FACTS asiye na msimamo. "OOOOhhhh I will never reply to mchambawima1 again" sasa mbona umem mention? Kuwa na msimamo kama mwanaume wewe. Unless you are not one.
 
Last edited by a moderator:
Si una twisted calculations zako...why you need info? Chukua hesabu zako kama "FACTS" and run with it. Dunia inajua mmeua 1m people. PERIOD. Hizo hesabu zingine labda kama mauaji hayo yalifanyika kule NEPTUNE. Lakini katika dunia hii facts zinasema you killed 1m people Comprende Sinorita?

..nataka kujua wewe binafsi umeua wanawake na watoto wa Kihutu na Kicongo wangapi?

..wewe na hako kagenge kako hapa JF na newtimes hamna tofauti na kina Hassan Ngeze.

cc mchambawima1
 
Last edited by a moderator:
if only i'd get one cent for everytime mchambawima1 mentions my name, i would be richer than James rugemalira by now!:tonguez:
but also if jamiiforums could help me to uncover you(jMali) the bodies of my relatives killed during the genocide probably could be discovered and bury them with respect...untill now we have discovered only two bodies in a family of nine... thanks to umuganda(community work), a guy denounced interahamwe ideology and directed us where the body of my Aunt and her little girl(baby) were dumped.
 
Back
Top Bottom