Early Lunch

nimeshindwa hata kumeza mate, duh haya madudu ukiyaona kwenye miti ya maembe utajua tu walioanza kuyala ilikuwa ni jamii iliyokutana na njaa sana.
 
nimeshindwa hata kumeza mate, duh haya madudu ukiyaona kwenye miti ya maembe utajua tu walioanza kuyala ilikuwa ni jamii iliyokutana na njaa sana.
Nilijua nayafananisha basi kwani kuna muembe hapa jirani huwa kuna kipindi yanakuwepo mengi kazi yao kula majani.

Kumbe ni kitoweo. Lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…