Mimi nafikili Afrika Mashariki ina nchi zaidi ya Kenya na TANZANIA, swali ni je, kwa nini baadhi ya RAIA wa Kenya wako overly concern na mambo yanayo endelea nchini TANZANIA! Kwa akili za kawaida hii inaleta taswira gani kuhusu hulka za baadhi yenu, kama mnaona Tanzania haitaki ku-jump blindly to EAC bandwagon kwa nini msiachane na TANZANIA mkaendelea na shughuli zenu na
likemind wenzenu?
Majority ya Watanzania wala hawajuhi Kenya hiko wapi, in other words hawana interest/time na kinacho endelea kwenu - sasa nyinyi kinacho wahuma ni kitu gani. Nakumbuka nilipo kuwa mtoto mdogo kuna wimbo ulikuwa unapigwa na Mkongo aliye kuwa anaishi Nairobi Kenya alihimba hivi:
"PILIPILI USIYO KULA, YAKUWASHA NAMNA GANI?" Baadhi yenu kijitia ujuwaji na kujifanya manabii na mitume wanao weza ku-foretell hatma ya nchi yenu, kama mna ajenda za siri kuhusu Taifa letu, nawashauri mfikilie mara mbili kabla ya kujaribu; mkija on friendly TERMS na kuheshimu binadamu wenzenu mtapokelewa.
Yaani mwandishi wa makala hiyo (Mr.Musyoka wa ???) ana andika hadithi za kutunga tu na za chuki zake binafsi kuhusu TAIFA letu, na siajabu hajawahi hata kukanyaga Tanzania - Rais Kikwete anaye mshambulia humu ndiye aliye komesha mapigano ya kikabila mliyo kuwa nayo, zama hizi watu mnakuwa wakimbizi ndani ya TAIFA lenu alafu mnataka kukata mkono unao kulisha kwa kuleta majivuno yasiyo na MSHIKO, huo uweledi wenu ambao huwa mnataka kuhu-force down the throat ya DUNIA mbona hakuweza kumaliza tofauti zenu - leo hii mnajitia kuipa somo TANZANIA jinsi ya kushirikiana na majirani zake, wakati nyinyi kushirikiana ndani ya nchi mliyo pewa na mwenyezi Mungu ni mgogoro mtupu!!! lugha zenu zimejaa kejeri tu chukulia comment na picha hapo chini!
President Jakaya Kikwete: Shadow boxing
Regional integration!!! - (The writer of this caption owes Kikwete an apology)
Baadhi ya Wakenya bwana!! - you have already forgotten that these were the same HANDS which brought your sense back to
NORMAL, bila yeye nchi yenu saa hizi ingekuwa back to stone Age. Sorry Livefire, baadhi ya Wakenya wanahudhi SANA ni vigumu kuwaelewa.