Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Tutauza wapi bidhaa??
Kama hawezi fikiria kwamba soko la bidhaa za tz sio lazima ziwe nchi za EAC pekee...basi wewe bado unafikiri ndani ya box na utuondolee utumbo wako hapa
Kwani hapo alikuwa anazungumza kama Mnyarwanda?..kwani Rwanda wana mchango gani ktk EAC mpaka wawe na kiburi na dharau kiasi hiki kwa Tanzania?
Sikubaliani hata kidogo na ugawaji wa ardhi yetu.Hapa tulipo tuna matatizo lundo ya kuletewa the so called wawekezaji ambao wamefanya watanzania wakawauda kunyang'anywa ardhi na kupewa wageni.Hebu fikiria Wakenya,Warundi,wanyarwanda,waganda waje waingie waanze kupewa ardhi hivi mwananchi wa kawaida ataweza kumudu?Tusikimbilie kwenye moto,mpaka sasa sijaona umuhimu wa hiyo EAC.Hapa tulipo ajira za vijana ni mshikemshike na kwa sasa waajiri wengi wanaajiri wageni na kuwaacha wazawa kwa kigezo cha Lugha.Kwa sasa bado watanzania hawako tayari tunakokimbilia kuna nini?Tuna tatizo la Muungano bado haujatatuliwa tunataka kuingia kwenye maafa mengine?Hakuna jipya EAC zaidi ya ARDHI.Watanzania tuseme HAPANA kwenye masuala ya ardhi yetu.Pamoja na kuwa na ombwe la uongozi lakini bado raslimali ardhi isiwe ndani ya EAC.
.....ni Dr. Richard Sezibera ni Katibu mkuu wa EAC,Tanzania haiwezi kumtimua Dr kwa kuwa yupo kisheria na si mwajiriwa wa serikali ya TZ....
......ana uwezo wa kutuhumu na hata kushitaki mahamani nchi yoyote mwanajumuiya wa EAC pale anapoona haifuati utaratibu
.......Dr sezibera siyo Rwanda...sijajua umetumia nini (kichwa/tumbo)kufikiria na kuandika..."hivi kweli Dr.Seziraba/Rwanda inaweza kuituhumu Tanzania "
.......rwanda wameingiaje katika hizi tuhuma anazotoa katibu mkuu? Chuki zako zinazosababishwa na uelewa mdogo/uvimba macho sidhani kama zinakufanyia haki hata wewe mwenyew maana zinakufanya uonekane mp..umb...avu mbele za watu. mfano Rwanda imeingiaje katika hili?
We kweli punguani. Kwani wewe unavojiona una ubavu gani kutuzidi sisi watz tunaopinga EAC? hebu hamia basi huko Rwanda au Kenya ukafaidike na hiyo EAC ndani ya EAC, halafu uje utuletee ripoti.
Kuna sehemu yoyote kwenye hiyo article umesikia nchi ya rwanda ikisema hayo? Huyu ameongea kama katibu mkuu wa EAC. Na Tanzania ilimpigia kura. Kwa hiyo usitoe povu hapa. Ongea point..
UK inatekeleza makubaliano yote ya EU isipokuwa la common currency. Usiwe mwepesi wa kupindisha ukweli.
September 23
21:002013
THE EAST AFRICAN COMMUNITY ( EAC) HAS RAISED CONCERNS OVER TANZANIAS COMMITMENT TO THE REGIONAL INTEGRATION PROCESS.
EAC Secretary General Dr Richard Sezibera hit out at those dilly-dallying over integration process, saying they were missing the point.
Dr Sezibera said Tanzania has faltered on a number of key issues agreed upon by EAC regional States including the liberation of its current accounts and waiving of work permit fees.
We dont have compelling powers over those countries which seem not to be co-operating with the process of regional integration but the EAC treaty provides for the Secretary-General to take a country that is lagging behind to court. But this is a long process, Sezibera told reporters in Nairobi yesterday.
Long-term goal
Those still putting barriers to trade and integration are missing the point. We need to integrate much faster, he added.
Sezibera noted that some people were interested in the benefits of regional integration yet they were not ready to participate in achieving its long-term goal.Im concerned that at the individual and regional level, many actors are interested in plucking the fruits of regional integration rather than growing the tree, he said, adding that the fundamental aim is to have East Africas prosperity by integrating. Sezibera was speaking on the sidelines of the Second Annual Banking and Research conference organised by the Kenya Bankers Association in Nairobi yesterday.
Tanzanias commitment to regional integration has been under sharp focus since Kenya, Uganda andTanzania agreed to revive the defunct EAC in 1997. Tanzania has been viewed as a reluctant party to the integration process.
It has on several occasions asked for more time to open up its economy to East African counterparts. It is also understood that Tanzania negotiated as a member of the Southern African Development Community, but transferred its allegiance to the EAC after pressure from European Union.Early this month, Presidents Uhuru, Yoweri Museveni of Uganda and Paul Kagame of Rwanda met in Mombasa to discuss cross-border infrastructure projects without Tanzanias input.Similarly, Tanzania and Burundi were conspicuously absent at an earlier meeting in June 2013 by the three presidents; Museveni, Kenyatta and Kagame in Entebbe which was dubbed as EACs first infrastructure summit.Tanzanias objections to both land purchases and a common EAC passport in 2009 also raised fears over its governments commitment to the regional integration efforts.
By JAMES ANYANZWA, The Standard
Nadhani wakati umefika kwa waziri Sitta kuanza kutoa elimu kwa watanzania kuhusu Jumuia ya Afrika mashariki, naona wengi hamuelewi hii kitu ni nini?? Sasa Mnyarwanda atapewaje Ardhi ya Tanzania?? Ebu jaribu wewe nenda kijiji cha Budalabujinga halafu kawaambie WAKUPE ARDHI kama inawezekana. There is nothing like kugawana ardhi kwenye muungano wa afrika mashariki. Mmekuwa waoga mno kwa kuwa hamjishugulishi hata kujua tunaungana kwenye nini. Tatizo kubwa lililotufikisha hapa ni mfumo wetu wa kielimu, tunajiona wanyonge kwenye kila kitu. Sisi wengine tunasema waache hao wana afrika mashariki waje, tutawaonesha kuwa Tanzania is the next Super Power in East Africa, we will take the battle to their markets and they will eat, drink, wear and sleep everything from Tanzania while we get rich
Inanikumbusha hadithi na msafiri na ngamia wake...Tanzania inasubiri nini kumtimua Dr.Seziraba?
..hivi kweli Dr.Seziraba/Rwanda inaweza kuituhumu Tanzania kwamba ktk EAC tunachuma tusichopanda?
..kwani Rwanda wana mchango gani ktk EAC mpaka wawe na kiburi na dharau kiasi hiki kwa Tanzania?
Mkuu umeweka kimpumu asubuhi yote hii? Tunaongelea Jumuia ya Afrika mashariki wewe unaleta habari za Somalia, wapi na wapi. Au ndio product za shule za kata...Si mlisema soon, Somalia ita join political federation la Kenya,Uganda na Rwanda. Vipi integration na somalia imefikia wapi msije waacha nyuma wasomali maana wana elimu nzuri na mnaweza kuuza bidhaa kirahisi zaidi na kununua ardhi kule kirahisi.
Mkuu umeweka kimpumu asubuhi yote hii? Tunaongelea Jumuia ya Afrika mashariki wewe unaleta habari za Somalia, wapi na wapi. Au ndio product za shule za kata...
Kwani hapo alikuwa anazungumza kama Mnyarwanda?
Wewe hapo ulipo Una ardhi wapi, hauna hata robo eka na huenda unaishi kwenye Mbavu za Mbwa Tandale kwa Tumbo lakini unajifanya msemaji wa ardhi za wengine. Hapo ndio ujinga Wako ulipokufikisha. To be the best you have to beat the best, nyie majinga mnaogopa tusipambane na wana afrika mashariki wenzetu. Mimi mwerevu naangalia solo la Kenya, Soko la Uganda na Rwanda huku Tanzania ndio nchi yenye rasilimali zaidi, tutauza wapi bidhaa zetu? Fikiria nje ya box wewe Kula kulala
UK inatekeleza makubaliano yote ya EU isipokuwa la common currency. Usiwe mwepesi wa kupindisha ukweli.
Ninakereka sana ninapokutana na Watz wa aina yako ambao ama kwa makusudi au kutokuelewa wanaitikia vibwagizo vinavyoimbwa na watu wa nchi nyingine za EAC eti sisi tunaogopa ushindani. Ushindani upi? Mbona tumefungua masoko sio kwa EAC tu bali dunia nzima na kila siku tunakaribisha uwekezaji
Sisi hatuna tatizo na EAC ila tunachotaka ni kuwa wakati sisi tuna ardhi na raslimali kibao hawa wenzetu wana nini cha kuchangia? Nasema ni uwendawazimu kung'ang'ania kushikirikiana na mtu ambaye hana kitu na anakutegemea wewe kumaliza matatizo yake. In short, ktk dunia ya leo unaanza na NIPE ndio inafuatia NIKUPE na sio NIKUPE tu sikuzote bila kujua na wewe ni lini UTANIPA