Mkuu JokaKuu zingekuwa enzi za Kambarage jamaa huyo asingetia mguu tena Arusha/Tanzania, kwa mawazo yao wanachukulia JK kuwa mpole na muhungwana kama ni dalili za kuwaogopa vile, which's totally false. Admin ya Rwanda na wapambe/wateule wao wana mambo ya chini chini sana - raia wengi Tanzania walionya kuhusu kuruhusu Rwanda kujiunga na jumuhia, lakini Mseveni ndio akawapigia debe PK (Rwanda) 4 a reason, kubwa ikiwa ni kumsogeza karibu comrade-in-arm i.e like mind mwezake waendeleze ndoto zao za SIRI - yaani mikakati yao ya siku nyingi tangu wakiwa kwenye vita vya misituni (Luwero Triangle huko Uganda), haya tunayo yashuhudia kwenye Jumuhia siku za hivi karibuni si ya bahati mbaya, yanakuwa instigated na hao wawili. Mh.Kenyatta kutokana na Umri wake kuwa mdogo ukilinganisha na wakina M7 na PK ndio maaana wanamuingiza kwenye mkenge taratibu taratibu bila ya yeye kulitambua hilo, wakisha mlainisha na kumsoma vizuri watangehuzia kibao - jamaa hawa wako highly unpredictable, oh yes M7 na PK waliwahi kugehukana huko DRC wakapigana vita kwa muda, kama wanafikia hatua ya kugehukana wao kwa wao, itakuwa mtu baki? Zingekuwa enzi za mzee Kibaki wasingeweza kutamba kama wanavyo tamba hivi sasa, wanaendelea kuvunja kanuni za jumuhia with impunity hawajali ma azimio yaliyo wahai kufikiwa kwenye jumuhia, wao wanaleta mapendekezo mbadala ya ajabu ajabu mfano fast tracking Political .... hii ina umuhimu gani kwa hivi sasa? Mawazo yao yote yako kwenye kutaka kutawala Africa Mashariki na kuleta vurugu walizo zoea, hawana jema lolote kwenye jumuhia yetu- Majivuno tu. Hivi Seziraba anataka kutueleza nini anaposema Tanzania tunataka kuchuma tusichopanda!! Rwanda imewahi kupanda kitu gani cha maana katika ustawi wa EA zaidi ya kufanya member countries kutoelewane, juzi juzi tu alimwachia mwenzake Njoroge aiseme Tanzania kuhusu wahamiaji haramu kutoka Rwanda as if Raia wa nchi nyingine hawakuwa affected na zoezi hilo! Always wako self centered na kijifanya wana majibu ya kila tatizo ndani ya Jumuhia. Tuwe wakweli hapa tangu Seziraba akabidhiwe cheo hicho kuna mambo mengi yamefanyika under his watch ni as if amakuja na mikakati ya aina fulani chukulia mifano ifuatayo: Rwanda kushurtisha baadhi ya members wasusie vikao ili walazimishe vikao viwe vina rotate kwenye miji ya members countries,kitu ambacho hakikuwahi kupendekezwa siku za nyuma, kuingia Rwanda tu ndio kelele zikahanza hawataki vikao vifyanike Arusha muda wote, si hilo tu waliwahi kuja na a wild idea eti makao makuu yahamie Nairobi!! Hivi Rwanda ina bifu gani na Nchi yetu iliyo wahi kuwahifadhi Maelfu ya Wanyarwanda ikatumia resources zake kuwasomesha baadhi yao mpaka wakahitimu vyuo vikuu, watu hawa hawana shukrani...Tanzania inasubiri nini kumtimua Dr.Seziraba?..hivi kweli Dr.Seziraba/Rwanda inaweza kuituhumu Tanzania kwamba ktk EAC tunachuma tusichopanda?..kwani Rwanda wana mchango gani ktk EAC mpaka wawe na kiburi na dharau kiasi hiki kwa Tanzania?
Kwako wewe mtanzania halisi ni Kinana ambaye Ana sura ya kisomal, rangi ya kisomali na hata nywele za kisomali. Ujinga na ubaguzi umekujaa...
Nimegundua mijitu mingi inayopinga integration kwa kisingizio cha ardhi haina haya ardhi robo heka. Mingi ni misela tu inakaa kwenye nyumba ya chumba kimoja Sinza au Mbagala na haina uwezo wa kununua hata robo eka. Sasa huna hata robo eka lakini unadai wakenya watachukua ardhi yetu, yako wewe na nani? Ardhi kwa sasa ni mali ya mtu binafsi au serikali, usijidanganye ardhi ya watanzania wakati Riziwani Kikwete anakaribia kuinunua wilaya yote ya Mvomero
Wewe hapo ulipo Una ardhi wapi, hauna hata robo eka na huenda unaishi kwenye Mbavu za Mbwa Tandale kwa Tumbo lakini unajifanya msemaji wa ardhi za wengine. Hapo ndio ujinga Wako ulipokufikisha. To be the best you have to beat the best, nyie majinga mnaogopa tusipambane na wana afrika mashariki wenzetu. Mimi mwerevu naangalia solo la Kenya, Soko la Uganda na Rwanda huku Tanzania ndio nchi yenye rasilimali zaidi, tutauza wapi bidhaa zetu? Fikiria nje ya box wewe Kula kulala
Famba ww,,unajitia keki kumbe ki2mbua cha mama ntilie,,kwani soko la bidhaa ni kenya,rwanda na uganda 2,,yo 1/10th of cocroacha brain,,nyie ndo mnaoliswa sumu na kuingia kichwakichwa na kanza kuweweseka,,suala la mimi kuwa na ardhi au sinayo,,Thats Non Of Your Mo**er F**king BuisnessWewe hapo ulipo Una ardhi wapi, hauna hata robo eka na huenda unaishi kwenye Mbavu za Mbwa Tandale kwa Tumbo lakini unajifanya msemaji wa ardhi za wengine. Hapo ndio ujinga Wako ulipokufikisha. To be the best you have to beat the best, nyie majinga mnaogopa tusipambane na wana afrika mashariki wenzetu. Mimi mwerevu naangalia solo la Kenya, Soko la Uganda na Rwanda huku Tanzania ndio nchi yenye rasilimali zaidi, tutauza wapi bidhaa zetu? Fikiria nje ya box wewe Kula kulala
Hello Ruziba, I salute thee,
Mbona umepoteza utu na mpangilio wa sentensi zako. Ebu tulia basi tuweze kuchambua -------- ni mjinga (asiye erewa) yupi na mwerevu ni yupi? Naona Post zako nyingi umetukana tu na kujionesha kuwa mtu mwerevu lakini hakuna jambo la maana na la ushawishi linaloonesha werevu wako. Kosa la mtoa mawazo haliwezi kusahihishwa na kosa lako. Naamini ww ni msomi mzuri ebu changia vyema tukuelewe
Abusolutely Non Sense,,,,,,,,Huyu jamaa hajielewi,,@ Tz imekuwa kipngamizi cha region integration,,,wanatolea macho ardhi,,,,hawajielewi na 2takomaa No land apa,,,2tashirikiana vyooote but ardhi ye2uuuu,,2 hell with em
riziwani nae ni mtanzaniaKwako wewe mtanzania halisi ni Kinana ambaye Ana sura ya kisomal, rangi ya kisomali na hata nywele za kisomali. Ujinga na ubaguzi umekujaa...
Nimegundua mijitu mingi inayopinga integration kwa kisingizio cha ardhi haina haya ardhi robo heka. Mingi ni misela tu inakaa kwenye nyumba ya chumba kimoja Sinza au Mbagala na haina uwezo wa kununua hata robo eka. Sasa huna hata robo eka lakini unadai wakenya watachukua ardhi yetu, yako wewe na nani? Ardhi kwa sasa ni mali ya mtu binafsi au serikali, usijidanganye ardhi ya watanzania wakati Riziwani Kikwete anakaribia kuinunua wilaya yote ya Mvomero
..matamshi ya Dr.Sezibera siyo ya kawaida kulingana na nafasi na dhamana yake.
..nyinyi hamuwezi kuelewa kwasababu u dont know how to live with one another.
.
UK inatekeleza makubaliano yote ya EU isipokuwa la common currency. Usiwe mwepesi wa kupindisha ukweli.
SEZIRABA ni nani?Mkuu JokaKuu zingekuwa enzi za Kambarage jamaa huyo asingetia mguu tena Arusha/Tanzania, kwa mawazo yao wanachukulia JK kuwa mpole na muhungwana kama ni dalili za kuwaogopa vile, which's totally false. Admin ya Rwanda na wapambe/wateule wao wana mambo ya chini chini sana - raia wengi Tanzania walionya kuhusu kuruhusu Rwanda kujiunga na jumuhia, lakini Mseveni ndio akawapigia debe PK (Rwanda) 4 a reason, kubwa ikiwa ni kumsogeza karibu comrade-in-arm i.e like mind mwezake waendeleze ndoto zao za SIRI - yaani mikakati yao ya siku nyingi tangu wakiwa kwenye vita vya misituni (Luwero Triangle huko Uganda), haya tunayo yashuhudia kwenye Jumuhia siku za hivi karibuni si ya bahati mbaya, yanakuwa instigated na hao wawili. Mh.Kenyatta kutokana na Umri wake kuwa mdogo ukilinganisha na wakina M7 na PK ndio maaana wanamuingiza kwenye mkenge taratibu taratibu bila ya yeye kulitambua hilo, wakisha mlainisha na kumsoma vizuri watangehuzia kibao - jamaa hawa wako highly unpredictable, oh yes M7 na PK waliwahi kugehukana huko DRC wakapigana vita kwa muda, kama wanafikia hatua ya kugehukana wao kwa wao, itakuwa mtu baki? Zingekuwa enzi za mzee Kibaki wasingeweza kutamba kama wanavyo tamba hivi sasa, wanaendelea kuvunja kanuni za jumuhia with impunity hawajali ma azimio yaliyo wahai kufikiwa kwenye jumuhia, wao wanaleta mapendekezo mbadala ya ajabu ajabu mfano fast tracking Political .... hii ina umuhimu gani kwa hivi sasa? Mawazo yao yote yako kwenye kutaka kutawala Africa Mashariki na kuleta vurugu walizo zoea, hawana jema lolote kwenye jumuhia yetu- Majivuno tu. Hivi Seziraba anataka kutueleza nini anaposema Tanzania tunataka kuchuma tusichopanda!! Rwanda imewahi kupanda kitu gani cha maana katika ustawi wa EA zaidi ya kufanya member countries kutoelewane, juzi juzi tu alimwachia mwenzake Njoroge aiseme Tanzania kuhusu wahamiaji haramu kutoka Rwanda as if Raia wa nchi nyingine hawakuwa affected na zoezi hilo! Always wako self centered na kijifanya wana majibu ya kila tatizo ndani ya Jumuhia. Tuwe wakweli hapa tangu Seziraba akabidhiwe cheo hicho kuna mambo mengi yamefanyika under his watch ni as if amakuja na mikakati ya aina fulani chukulia mifano ifuatayo: Rwanda kushurtisha baadhi ya members wasusie vikao ili walazimishe vikao viwe vina rotate kwenye miji ya members countries,kitu ambacho hakikuwahi kupendekezwa siku za nyuma, kuingia Rwanda tu ndio kelele zikahanza hawataki vikao vifyanike Arusha muda wote, si hilo tu waliwahi kuja na a wild idea eti makao makuu yahamie Nairobi!! Hivi Rwanda ina bifu gani na Nchi yetu iliyo wahi kuwahifadhi Maelfu ya Wanyarwanda ikatumia resources zake kuwasomesha baadhi yao mpaka wakahitimu vyuo vikuu, watu hawa hawana shukrani.
A simple question to Dr. Sezibera and all the EAC perpetrators. What does Rwanda, Uganda, and Burundi have to offer in this integration? Who's benefiting who here? This Sezibera guy is being manipulated by somebody as he's NOT making no sense at all. Tanzania as a country has to see what's there for them not just enter into something that has no head nor eyes, come on now.
kweli we mbishi.....
riziwani nae ni mtanzania
I have lived in kenya for several years, I have lived with kenyans inside and outside kenya for several years too... Hawa jamaa they will never intergrate. To me this is just an opportunity to boost mombasa port
There is no integration between the tribes let alone the tz.
Famba ww,,unajitia keki kumbe ki2mbua cha mama ntilie,,kwani soko la bidhaa ni kenya,rwanda na uganda 2,,yo 1/10th of cocroacha brain,,nyie ndo mnaoliswa sumu na kuingia kichwakichwa na kanza kuweweseka,,suala la mimi kuwa na ardhi au sinayo,,Thats Non Of Your Mo**er F**king Buisness