E. Kezilahabi: Rosa Mistika

Mkuu hauna Soft Copy unipe,?


By the way, hicho kitabu kilipigwa marufuku kwa sababu inasemekana kilikuwa kinaukashifu ukatoliki,
hasa huyo Rosa anafananishwa na Maria mtakatifu,

Pia riwaya hiyo inaakisi maisha ya viongozi wetu wanavotumia madaraka na fedha kuwanyanyasa wasichana...
Ndipo Rungu likapita na kitabu kikapigwa marufuku
Jamani, nashida sana na vitabu vya kiswahili in soft copy,hakuna link ya group au page yenye vitabu vya kiswahili mnisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom