E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Huyu jamaa anamtetea sana bashite,sijui ndo yeye?
 
Bashite bashite.
KESHO NITATANGAZA KWA WAFANYAKAZI WOTE WALIOTIMULIWA KWA SABB YA KUKUTWA NA VYETI FEKI WARUDI MAKAZINI.
Uhakiki wa vyeti feki ni ubatili na halina maana
Kabisa
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
hujuia laichowakosea au unajilazimisha kutojua?kamdhalilisha mmiliki afu unauliza kamkosea?yan ni sawasawa na ukigombana na mzee meng bhas jiandae kukabili shit za media zake juu yako
 
hujuia laichowakosea au unajilazimisha kutojua?kamdhalilisha mmiliki afu unauliza kamkosea?yan ni sawasawa na ukigombana na mzee meng bhas jiandae kukabili shit za media zake juu yako
Wale jamaa sio wa mchezo mchezo kbs
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
Amemtaja bosi wao kwenye kashfa ya sembe.Mbona haulizi kwa nini clouds wanamlamba miguu bashite?
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
Mbna clouds wanamtetea nao huwaelewi,wekeni vyeti mezani bado tunahakiki kma vyeti hamna leteni vya clinic vitawasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…