Masanyiwa Mabula
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 954
- 983
Kumbuka watu waliachishwa kazi na wengine wapo jera ninavyoandika huu ujumbe. Hakuna cha blah blah hapo. Hak itendeke kwa wotehuwezi ukawa kiongozi kila unachoombwa na wajinga utoe,ina maana hata ukiambiwa unakibamia wewe utavua ili uthibitishe!!!!!!!!!!!!!!!
Absolutely, unafiq mtupu!leo mnamtetea makonda ila siku akitumbuliwa nq mkuu akaeleza sababu za kumtumbua ....
Mtakuja hapa kumpongeza mkuu wa nchiii
umeona mimi nawangalia tu watetezi ila siku mkuu akisema tu utawaona na wao wanabadilikaAbsolutely, unafiq mtupu!
Una hoja ya kipuuzi sanahuwezi ukawa kiongozi kila unachoombwa na wajinga utoe,ina maana hata ukiambiwa unakibamia wewe utavua ili uthibitishe!!!!!!!!!!!!!!!
Mi najiuliza tu siku kibarua kikiota nyasi itakuaje? Nakumbuka kuna kipindi jide ana bifu na clouds, akina geah na dina marios walikua wakimponda jide, sasa hivi dina hana kazi clouds matokeo yake kaenda kukutana na jide efm, nawashauri tu watangazaji waendelee kutangaza bifu za maboss wao waachie wenyewe maana itawacostkuna redio flan,inajihusisha mno katika hili sakata la Mh.mkuu wa mkoa,kwa kumkejeli na kumponda,hii yote ni kutokana na vitu flan flan eti mabosi zao wapo ndani kwa inshu za dawa za kulevya,hii inakufanya wewe mtangazaji kujiingiza kwenye vitu vinavyomhusu bosi wako.ushauri wangu wewe mtangazaji nenda kazini kafanye kazi na si vinginevyo,achana kujiingiza kwenye mambo yasiyokuhusu,kama unataka kutangaza inshu hizo balance habari yako.
toa wewe hivyo vyeti vya mh.kama unavyo,au ukisikia tu unaaminiKumbuka watu waliachishwa kazi na wengine wapo jera ninavyoandika huu ujumbe. Hakuna cha blah blah hapo. Hak itendeke kwa wote
Pole sana, ndoto yako ya uraisi imekufa mtumia vyeti vya watu. NAJUA WAHALIFU WENZAKO WATAKULINDA TU NA HIYO NDIYO KAWAIDA YENU
NA SISI WANANCHI HATUTAKUTAMBUA KAMA MKUU WETU WA MKOA WA DSM. Hatuwezi kuongozwa na mhalifu bora ungetumia vyeti vyako vya 0 hapo ingekuwa hakuna tatizo. Tunacholalamikia kwann ww mhalifu wa vyeti ubakizwe wakati wenzako wametumuliwa?ww ni nani? DAWA NI KUKOKUTAMBUA TU KM MKUU WA MKOA
Una balance vipi habari bila vyeti? [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] ukizoe kusifiwa kaz kweli kwelikuna redio flan,inajihusisha mno katika hili sakata la Mh.mkuu wa mkoa,kwa kumkejeli na kumponda,hii yote ni kutokana na vitu flan flan eti mabosi zao wapo ndani kwa inshu za dawa za kulevya,hii inakufanya wewe mtangazaji kujiingiza kwenye vitu vinavyomhusu bosi wako.ushauri wangu wewe mtangazaji nenda kazini kafanye kazi na si vinginevyo,achana kujiingiza kwenye mambo yasiyokuhusu,kama unataka kutangaza inshu hizo balance habari yako.
Povuhuwezi ukawa kiongozi kila unachoombwa na wajinga utoe,ina maana hata ukiambiwa unakibamia wewe utavua ili uthibitishe!!!!!!!!!!!!!!!
Sasa wewe hauna vyeti vyake, povu la nini?toa wewe hivyo vyeti vya mh.kama unavyo,au ukisikia tu unaamini
Bashite asafishiki labda MakondaKuna radio inamsafisha bashite