Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 754
Wewe ungependa iweje,uwe badri chanel kama inakuumiza kichwa!!....unakuwa kama mtu mwenye ukimwi asivyopenda kuskia hbr za ukimwi bna!!Habari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Eee bhana eeeKauli mbiu siku ya wanawake Duniani.
*Mama Ongea na Mwanao atoe Cheti*
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Kwani Mbowe ni ndugu na bashite,nani aliesema kila bahite atakachofanya na mbowe afanye?Mbowe vya kwake kesha viweka?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanga na mtibwa jana wametoka bashite bashite uko morogoro
Nauliza vya Mbowe kesha viweka Kwa hewa? Wewe hushangai yeye Kwanini halivalii njuga hili swalaEti nini?
Au sijaelewa mkuu
Kosa liko wapi?Habari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?