E-FM hivi pana umuhimu gani Kitenge asome magazeti akiwa nje ya nchi?

Screenshot (14).png

MKUU EMBU JARIBU KU ZOOM HAPO NAONA AMEKUJIBU WW PASIPO SHAKA,..maana nimeona bora nikamtafute ktk ka instagram
 
Wakuu, hivi karibuni nimekuwa najikuta nasikiliza radio ya E - FM hasa kwa kuwasikiliza wachekeshaji Mkude, Bwakila na mjomba wake.
Nimejikuta nasikiliza hata kipindi chao cha magazeti asubuhi.
Kinachonishangaza ni huyu mtangazaji Maulidi Kitenge eti akiwa nje ya nchi anatujuza kilichomo kwenye magazeti na kwa mbwembwe nchi alipo kisha watangazaji waliopo Dar huendelea na kutujuza kilichomo kwenye magazeti hayo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo liko wapi hapo??
 
Anadukua dukua tu magazeti ya hapa nchini kana kwamba anafanya 'promo' ili tujue yuko nchi gani.
Pana 'media' hapa kubwa kubwa tu kama TBC, Radio one, RFA lakini sijasikia eti mtangazaji kaenda nje ya nchi na kudukua magazeti yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaelewa nini maana ya neno kudukua au ?
 
Mkuu, sio wivu. Nshasema studioni pana watangazaji tayari tena wanarejea kusoma habari zilezile tena na kurasa za ndani. Yeye hupitia juujuu zile kurasa za mbele kwani anazisoma kwenye mtandao. Leo katujuza yuko Sauzi!!!!!!!!!
Watu huvutiwa na vipindi husika kwa mambo mengi,kuna wengine hupenda tu sauti ya mtangazaji bila kujali kile akitangazacho.

Kitenge ana mashabiki wake so kama inaruhusu kuifanya kazi yake hata akiwa chini ya bahari let him do it kwani wewe unapungukiwa nini?
 
Waandishi wa Tanzania vyuma vimekaza mpaka mnaoneana wivu kwa vitu vidogo sanaa.
Tafuteni pesa muwekeze kwenye miradi yamaana sio mnaishia umaarufu wa majina na mavazi ya gharama tu.
 
Wakuu, hivi karibuni nimekuwa najikuta nasikiliza radio ya E - FM hasa kwa kuwasikiliza wachekeshaji Mkude, Bwakila na mjomba wake.
Nimejikuta nasikiliza hata kipindi chao cha magazeti asubuhi.
Kinachonishangaza ni huyu mtangazaji Maulidi Kitenge eti akiwa nje ya nchi anatujuza kilichomo kwenye magazeti na kwa mbwembwe nchi alipo kisha watangazaji waliopo Dar huendelea na kutujuza kilichomo kwenye magazeti hayo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu tu, kwani unasikia au husikii?
Muacheni Chumvi buana mzee wa Anga
 
Poverty ni mbaya sana,ukiamka asubuhi angalia Bloomberg utaona watangazaji wa kipindi kimoja ila wako nchi tofauti..newyork,Dubai &London.Kaka tafuta pesa somesha watoto,wekeza.Ukifanikiwa wivu wa kike utakuisha.
Haata mkuu wanawake siku hizi hawana wivu wa hivyo wanatafuta pesa, wewe huoni vikoba vinavyo tarandadi huyo ni wivu wake na ukoo wake
 
Mkuu, sio wivu. Nshasema studioni pana watangazaji tayari tena wanarejea kusoma habari zilezile tena na kurasa za ndani. Yeye hupitia juujuu zile kurasa za mbele kwani anazisoma kwenye mtandao. Leo katujuza yuko Sauzi!!!!!!!!!

Una utindio wa ubongo wewe
 
S
Mkuu, sio wivu. Nshasema studioni pana watangazaji tayari tena wanarejea kusoma habari zilezile tena na kurasa za ndani. Yeye hupitia juujuu zile kurasa za mbele kwani anazisoma kwenye mtandao. Leo katujuza yuko Sauzi!!!!!!!!!

Andika ueleweke kaka
 
Wakuu, hivi karibuni nimekuwa najikuta nasikiliza radio ya E - FM hasa kwa kuwasikiliza wachekeshaji Mkude, Bwakila na mjomba wake.
Nimejikuta nasikiliza hata kipindi chao cha magazeti asubuhi.
Kinachonishangaza ni huyu mtangazaji Maulidi Kitenge eti akiwa nje ya nchi anatujuza kilichomo kwenye magazeti na kwa mbwembwe nchi alipo kisha watangazaji waliopo Dar huendelea na kutujuza kilichomo kwenye magazeti hayo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia hii ya utandawazi kuna shida gani kuwa Nyaminywili, Mbekenyela au Texas?
Kama mtandao upo,si hoja.
 
Wakuu, hivi karibuni nimekuwa najikuta nasikiliza radio ya E - FM hasa kwa kuwasikiliza wachekeshaji Mkude, Bwakila na mjomba wake.
Nimejikuta nasikiliza hata kipindi chao cha magazeti asubuhi.
Kinachonishangaza ni huyu mtangazaji Maulidi Kitenge eti akiwa nje ya nchi anatujuza kilichomo kwenye magazeti na kwa mbwembwe nchi alipo kisha watangazaji waliopo Dar huendelea na kutujuza kilichomo kwenye magazeti hayo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitenge huko nje huwa anafata nini?
 
Cha kushangaza zaidi kuna majuzi tu hapa siku yeye akiwa huko Us alikuwa aki report mchezo wa ligi ya Tanzania jkt ruvu na simba sikumwelewa na bado sijaelewa e FM wamemtuma kazi gani kule?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom