E-FM hivi pana umuhimu gani Kitenge asome magazeti akiwa nje ya nchi?

Kinachonishangaza ni huyu mtangazaji Maulidi Kitenge eti akiwa nje ya nchi anatujuza kilichomo kwenye magazeti na kwa mbwembwe nchi alipo kisha watangazaji waliopo Dar huendelea na kutujuza kilichomo kwenye magazeti hayo hayo.
Utapata ugonjwa wa moyo wewe!
Ile ni segment yake,na wanatonesha jinsi gani teknolojia inafanya kazi yao iwe nyepesi
 
Wakuu, hivi karibuni nimekuwa najikuta nasikiliza radio ya E - FM hasa kwa kuwasikiliza wachekeshaji Mkude, Bwakila na mjomba wake.
Nimejikuta nasikiliza hata kipindi chao cha magazeti asubuhi.
Kinachonishangaza ni huyu mtangazaji Maulidi Kitenge eti akiwa nje ya nchi anatujuza kilichomo kwenye magazeti na kwa mbwembwe nchi alipo kisha watangazaji waliopo Dar huendelea na kutujuza kilichomo kwenye magazeti hayo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha unaa
 
Cha kushangaza zaidi kuna majuzi tu hapa siku yeye akiwa huko Us alikuwa aki report mchezo wa ligi ya Tanzania jkt ruvu na simba sikumwelewa na bado sijaelewa e FM wamemtuma kazi gani kule?
Si ndio maaana wamemuajiri. anafanya kazi yale regardless mahali alipo. Mlitaka wamwachishe kazi
 
Wakuu, hivi karibuni nimekuwa najikuta nasikiliza radio ya E - FM hasa kwa kuwasikiliza wachekeshaji Mkude, Bwakila na mjomba wake.
Nimejikuta nasikiliza hata kipindi chao cha magazeti asubuhi.
Kinachonishangaza ni huyu mtangazaji Maulidi Kitenge eti akiwa nje ya nchi anatujuza kilichomo kwenye magazeti na kwa mbwembwe nchi alipo kisha watangazaji waliopo Dar huendelea na kutujuza kilichomo kwenye magazeti hayo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tatizo liko wapi nilifikiri anatujuza yasiyokuwepo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom