DvD ya matukio ya kisiasa Arusha ipo mtaani

tna wengi wetu, sisi tunaoandamana, tuna mishahara mizuri kuliko ninyi, sasa mkija kutupiga mabomu, mi nitawashangaa

Sio mishahara mizuri tu, wengi wetu tunaotaka mabadiliko tuna maisha mazuri sana sana kuliko ninyi polisi... hivyo tunawapigania ninyi wap**zi na watoto wenu :A S 13:!!!!!!
 
Kama unahitaji unaweza kuwasiliana nami kwa njia yeyote ile utapatiwa Kamanda.

Mheshimiwa Regia, hii ndio ile Dr. Slaa aliyoahidi kwamba mtajibu mapigo? sasa kwanini msiitume kwa Ocampo na hapa nchini muwapatie vijana wa Arusha walioshiriki bure?? Msimamo wangu ni ule ule BLOOOOOODY MONEY. Naomba kujua kama ndugu wa marehemu watapata mgao au pesa ya mauzo inafanya nini? kuna jamaa anasema eti euro 3 sii nyingi, BLOOOOOOOOODY MONEY is BLOOOOOOOOODY MONEY and mmeanza na hizo mtauza sana mwaka huu kwa bidii mliyo nayo. Sasa natambua maana ya rangi nyekundu kwenye bendera CDM. yaani mheshimiwa mzima unaahidi kuuza CD za aina hiyo? Big shame on you!! Najua mtanitukana sana lakini itakuwa ngumu kunishawishi na ku justify Mh. Mbunge kufanya biashara ya aina hiyo! Kugawa bure big yees!! kuuza Big Noooooooooooooo!! haya anzeni mitusi yenu!
 
kuna sehemu amesema atakuuzia, je amekuhakikishia kuwa ndiyo aliyoisema Dr, kwanini hukusubilia akujibu kwanza ndiyo uanze kurusha lawama zako, kitu kipo kwenye net si u-download au unataka ligi tu.
 
daaah ahsaante sana mkuuu nimeipata YOU TUBE daa kweli inasikitisha mtoto wa mkulima kaumbuka kwa uongo wake yaaani hii documentary imeonyesha ukweli woote
 
nasipo jipanga atazi kuumbuka vibaya zaidi na pengine kuondoka kwa aibu kama mwenzake....
 
Back
Top Bottom