DvD ya matukio ya kisiasa Arusha ipo mtaani

DvD ya matukio ya kisiasa Arusha ipo mtaani

Hii safi sana. Ni vizuri kutengeneza English version yake
 
mlioona niadithieni japo kiduchu mtandao wa vodacom unanizingua imegoma kufungua
 
Nimeona polisi wametumia nguvu kuliko kiasi. Risasi zilizopigwa ni yingi mno, na hata gari lilipigwa sana na virungu. Hasira hii dhidi ya wananchi inamaanisha nini?
 
waweke subtitles za kiingereza ili international communities waone na kuelewa pia
 
Mchonga, tunashukuru..tumeshuhudia japo ni uchungu mkubwa sana.
Translate kwa kiingereza ili tumfikishie ujumbe O'campo ili aweze kufanya investigation sambamba na yanyoendelea Libya na I. Coast ili gadafi, gagbo na kikwete wapandishwe kizimbani pamoja.
 
Ile ya polisi kuingia kwenye kikao cha madiwani na kupiga virungu gari jekundu ndiyo yameniacha hoi zaidi!

Shame on u......!
 
Part 1



Part 2



Mpendwa naomba unitumie iyo video kwenye email addres yangu km attachment. Nmejarb kuifungua bt imekataa, plz nakuomba sana, yan nilikuwa nkiitafuta kwa hal na mal plz help me. gidytitus@yahoo.com. send it via this addres.
 
Last edited by a moderator:
Yaaaani nina hasiraaaaaaa,ngoja wajidanganye kuifuta chadema waone!
 
Mpendwa naomba unitumie iyo video kwenye email addres yangu km attachment. Nmejarb kuifungua bt imekataa, plz nakuomba sana, yan nilikuwa nkiitafuta kwa hal na mal plz help me. gidytitus@yahoo.com. send it via this addres.

na mie naitama sana, ntakuPM kama umeshatumiwa na mie unifowardie
 
Huyu Polisi mwenye tumbo kubwa naf*R#@ na Mafisadi nini kwanini anajifanya yupo kwaajili ya kudhalilisha viongozi walichaguliwa na wananchni!!
 
Hi ndiyo polisi yetu sasa na sasa wanawaandaa kutuua zaidi bila shaka kwa maneno niliyo yasikia na kuona leo TBC nina dhani wanatuchonganisha na polisi na mi nafikiri mapolisi msikubali maana kwanza wengi wenu tunaishi wote street na pia mna watoto wenu ndugu na jamaa zenu pia ila uamuzi ni wenu kutuasi au kukubali hali halisi kwani tuna shea maduka na bei za bidhaa na hata mishahara ila moja ya lengo letu nadhani ni kinyume kbsaaaa na matakwa yenu hatutaki tena kutoa kidogo dogo kwa kubambikiziwa ila tunapigania pia mishahara yenu minono ila uamuzi ni wenu muwe nasi au bila nasi lazima kieleweke,
 
Hii ni vita then unajigamba wewe ndio rais wa nchi? Hii ni aibu kubwa JK na mafisadi wake wa CCM ni lazima waachie hatamu No ways ... hakuna njia.
 
Mpendwa naomba unitumie iyo video kwenye email addres yangu km attachment. Nmejarb kuifungua bt imekataa, plz nakuomba sana, yan nilikuwa nkiitafuta kwa hal na mal plz help me. gidytitus@yahoo.com. send it via this addres.

Email iliyo safe kumtumia ni gidytitus@jamiiforums.com, kama unataka kuendelea kuwa na privacy yako. Don't fall into this game of chicken. Mbona sisi tuaifungua? au nenda Youtube.com search for "Machafuko ya Arusha part 1" utaipata na kuiplay kama hapa imegoma. Kwa maelezo mengine ya ziada ya ziada pitishia maombi yako kule chini kwenye jukwaa la "JF Store", huko utafanikiwa kupata utakacho kwa kuweka ombi rasmi na wenye uwezo watakusaidia.
 
Hi ndiyo polisi yetu sasa na sasa wanawaandaa kutuua zaidi bila shaka kwa maneno niliyo yasikia na kuona leo TBC nina dhani wanatuchonganisha na polisi na mi nafikiri mapolisi msikubali maana kwanza wengi wenu tunaishi wote street na pia mna watoto wenu ndugu na jamaa zenu pia ila uamuzi ni wenu kutuasi au kukubali hali halisi kwani tuna shea maduka na bei za bidhaa na hata mishahara ila moja ya lengo letu nadhani ni kinyume kbsaaaa na matakwa yenu hatutaki tena kutoa kidogo dogo kwa kubambikiziwa ila tunapigania pia mishahara yenu minono ila uamuzi ni wenu muwe nasi au bila nasi lazima kieleweke,

tna wengi wetu, sisi tunaoandamana, tuna mishahara mizuri kuliko ninyi, sasa mkija kutupiga mabomu, mi nitawashangaa
 
Back
Top Bottom