Duuuuuuu hiki chuo noumaa

Aug 13, 2012
30
0
Kwa wale first yr watakoma cz kina direct cost nyingi xanaaaa almost 609000.......kwa loan beneficiar na kwa waliokosa loan duuu poleno xana wana kayumba choo cha kike
 
kungekuwa na fomu ama mtu akitaka kupost jf alipie nahisi pumba zingepungua humu
 
Muwe watu wazima wakati mwingine...unajua jaribu kujiheshimu na kuji-control as individual, ulichoandika hapa ni kuonyesha kuwa vijana wa kitanzania mna uwezo mdogo wa kukaa na kutulia na kutoa hoja. Kwani ulikuwa uwezi tulia ukaandika hoja yenye mashiko na iliyotimia?
 
the last tym I checked, posting isn't compulsory here...
and the last tym I checked, for crying out loud this is a HOME FOR GREAT THINKERS....kajipange basi!:mmph:
 
kungekuwa na fomu ama mtu akitaka kupost jf alipie nahisi pumba zingepungua humu

Kila siku ungekua unatumia ubongo kama hivi ungekua mbali sana. Nikipata time nitakugongea like. Uendelee hivi hivi. . .
 
Kazi mnayo.sie wenzenu wa udsm mbali na ada,unatakiwa ulipe 79400 tu kama direct cost.
 
Me nashindwa kuelewa,hv kama mtu anaandika kitu humu jf,ambacho kiasi cha akili alichotumia ni 0.0001 per think, anawezaje ku-access mtandao hadi kufika jf ambayo kiwango cha akili kidogo kinachohitajika ni kibwa compare to his/her topic? Jaman humu kuna forums nyingi za kutosha kukidhi mahitaji ya mtu kulingana na uwezo,akili,muda,malengo na mahitaji yake,tuangalie wapi tuweke wap tutoe.
 
kwani hizo ela unampa principle au unaweka kwenye account! Afu kingine cha kukumbukwa SAUT ni private institution mkuu jipange upya
 
Kwa wale first yr watakoma cz kina direct cost nyingi xanaaaa almost 609000.......kwa loan beneficiar na kwa waliokosa loan duuu poleno xana wana kayumba choo cha kike

Kama na wewe ni mmoja ya waliofaulu na kwenda chuo kikuu, sidhani kama unatofauti na wale waliofaulu kwenda sekondari af hawajui kusoma na kuandika.
 
bro alot of people wamecheki hii post then hawajacomment cio lazima mie cio basha bana ucjipendekeze kwangu ctoi like za k...nge
 
Back
Top Bottom