Duuuh wanaume wa dar sio poa

BoManganese

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
979
2,669
FB_IMG_15152691815402773.jpg
 
Kufanyiwa Hiyo Huduma Siyo Tatizo But Nani Anayekufanyia Me kwa Me

Me kwa Me
Ke Kwa Me

Massage,
Scrub,
Magic, Nk....
Ishu ni Jinsia Gani inafanya hyo service... Wamikoani Mkija Dar kila Kitu kwenu Ni Ushamba
Tu

Hpo JamAa anaondoa Cement miguuni.


@m G00d Br0ther
 
Wanaume wa dar punguzeni kuwagegeda wadada wa mkoani Kwani jamaa vivulana wao wanaliaaliaa sana

Ova
 
Sidhan kama kufanya manicure au pedicure ni ishu kiivo, ni smartness ya mtu tu mkuu. Sio mtu unashindwa hata kujiachia na pensi na sendozi maana hiyo mikucha hata haitamaniki. Huu ni umaridadi tu wala sio ushoga-oriented kama watu wanavyodhani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom