toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,118
Wanaume wa dar hadi body spray wanachangia
Siyo povu mkuu wangu tunawabokoa sana wakija huku.Povu hili
Wa mkoani tunawabokoa sana hapa mjini,ubabe huko huko wakija hapa wanalegea kama mlendaDaaahh hawa jamaa ni tope
hapa sio dar wala tanzania angalia iyoo plate namba ya iyoo pikipiki utagundua kitu
Hii post,,,Mkuu umefukua kaburi aisee[emoji16]hapa sio dar wala tanzania angalia iyoo plate namba ya iyoo pikipiki utagundua kitu